Nimeacha damu yangu ughaibuni (Michigan, US) kisa ni ubaguzi wa rangi. Ushauri please

Huyu jamaaa atakuwa yupo anaomboleza nadhani next week tutakuwa nae kwa muendelezo
 
Stori ya Khumbu ni stori ya kweli ya maisha yangu na Khumbu hivyo wasingeweza kunitoa kwenye reli. Kwanza watu waliokuwa wanataka kunitoa kwenye reli walikuwa wanapambana na wasomaji, mimi nilikuwa hata sihangaiki nao.

Point iko hapa, story ya Khumbu ilikuwa story ya kweli, hatukukutoa kwenye reli.

Vipi una maoni gani kuhusu story ya huyu mwamba ambaye ametoka kwenye reli?
 
Acha kutetea wewe,hoja hujibiwa kwa hoja na sio kuingia mitini,kama hataki kuulizwa awatumie die hard fans wake stori yake huko whatsapp ili hata ikiwa chai asiulizwe
Mbona nimesha kuambia wewe ni mjuaji ....na reasoning yako ipo low Sana ...... Yaani una apply akili nyingingi kwenye vitu simpo tu.

Kabla hauja critsize ilitakiwa ujiulize kwanza vijimaswali vyenye some facts and ungepata unacho taka ila kwa hapa mzee kajipange.

Mbona mm mwenyewe nimesoma Kama wewe ila nikajiuliza Kama wewe ila nikapata jibu ya kuwa huenda jamaa degree yake kuichukulia hapahapa na huku kwingine atakua alifata masters/ phd and whatever.......nikatulia na kusubiri utamu uendelee...[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Next time soma uelewe sio usome kwa ajili ya kubisha ....Ndio maana jamaa akili nyingi kaona wewe zwazwa kakuacha uendelee kubisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Point iko hapa, story ya Khumbu ilikuwa story ya kweli, hatukukutoa kwenye reli.

Vipi una maoni gani kuhusu story ya huyu mwamba ambaye ametoka kwenye reli?
Kwa yale makaburi yaliyofukuliwa na utetezi wake kuhusu kutumia ID ya mtu mwingine nabaki njia panda.
 
Stori ya Khumbu ni stori ya kweli ya maisha yangu na Khumbu hivyo wasingeweza kunitoa kwenye reli. Kwanza watu waliokuwa wanataka kunitoa kwenye reli walikuwa wanapambana na wasomaji, mimi nilikuwa hata sihangaiki nao.
Mkuu baada ya mazishi kuna ile nyingine uliitolea utangulizi..usisahau.
 
Mkuu baada ya mazishi kuna ile nyingine uliitolea utangulizi..usisahau.
Hiyo nyingine nitakuwa naihadithia kwenye kampeni zangu 2025 ili kujaza watu maana sitakuwa na hela ya kusomba watu kwenye magari kuwaleta kwenye mikutano yangu hahahahahaha! Kwa hiyo njoo kwenye mikutano yangu mkuu ufaidi uhondo wa mtoto mwenye ngozi ya kahawia, sauti kama ya Sepenga. Nitakuwa natupia vipande vifupifupi kubalance duration ya kampeni ili stori isiishe mapema nikakosa wahudhuriaji.
 
Stori ya Khumbu ni stori ya kweli ya maisha yangu na Khumbu hivyo wasingeweza kunitoa kwenye reli. Kwanza watu waliokuwa wanataka kunitoa kwenye reli walikuwa wanapambana na wasomaji, mimi nilikuwa hata sihangaiki nao.
Mkuu baada ya mazishi kuna ile nyingine uliitolea utangulizi..usisahau.
Kila la kheri Mkuu
 
Umesahau matako ya kuning'inia kama anakung'uta kunguni
 
Teh teh teh teh,msomiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,mbona kama umepanic vile mkuu?
 
poa poa
 
Wee jamaa muongo sana umesema ngeli yako ilikua mbovu hta kujielezea uwezi mbele ya walinzi ila umeshinda tuzo ya kuelezea ile project vzr 🀣🀣🀣🀣
 
Yaani mijitu inapenda stori halacu inajifanya mifukunyuku...

Ona sasa wanatufanya tusipate mwendelezo.

Kwani kama ni chai wengine tunakunywa na maandazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…