Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Mi mdada jamani...[emoji1787]Hahaaa...!! We jamaa unaweza kuwa Mtabiri mzuri..
Mi ni Muonaji sio Mtabiri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mdada jamani...[emoji1787]Hahaaa...!! We jamaa unaweza kuwa Mtabiri mzuri..
HATA KUSAGA ALIANZA NA EARPHONE SASA HV ANAMILIKI REDIO KUBWA AFRIKA MASHARIKIPambana kaka mimi nilianza na nyoya moja la kuku ila now nina kuku elfu 10
Evil spirit...What creature are you mrembo wewe pushing wewe machinga wewe narudia what creature are you
ameshawishiwa na 'motivesheno supika'.Sababu ya kuacha kazi ni Nini hasa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama unaonekana machinga...
Hujawahi ajiriwa...
Kama hujapata fremu pale kuna mgambo wa jiji kila siku wanaruka na kukanyagana na machinga mkuu. Uwe makini nao mkuu.Tarehe ya leo itabaki kwenye kumbukumbu zangu kuwa tarehe ya mwisho kuwepo kazini. Aisee, baada ya kuchoka na uvivu uliokithiri leo natangaza rasmi kuacha kazi wakuu.
Kwasasa nitakuwa napatikana Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kama machinga mdogo tu wa earphones, redio na vitu vingine vidogo vidogo wakuu!
Karibuni
Wamemwambia kuajiriwa ni utumwa eeh!!! Uhondo wa ngoma atauona Sasa.😂😂ameshawishiwa na 'motivesheno supika'.
wamemwambia umachinga unalipa sana, eti baada ya mwezi mmoja tu wa kufanya umachinga anakuwa milionea.[emoji16]
Tutoke magetonUsiache kazi bila kujipanga chief hata kama ofisini pana makwazo.
njaa itakuja kukuua magetoni na hakuna wa kusaidia.
coz unaonekana una frustrations
Hongera kwa ubunifu wa tangazo, limekaa kijanja sana yani kama vile hutangazi.napatikana Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kama machinga mdogo tu wa earphones, redio na vitu vingine vidogo vidogo wakuu!
Udesi..✍️TRA 1.5m monthly
Ufu 21:8 SUVUsiache kazi bila kujipanga chief hata kama ofisini pana makwazo.
njaa itakuja kukuua magetoni na hakuna wa kusaidia.
coz unaonekana una frustrations
😅😅😅😅 watu bhnaUmeacha kupiga debe nayo unaita umeacha kazi