Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Milion 150M kupitia kilimo sasa umeacha unaenda kwenye umatching guy??? Kweli maisha ya mtandaoni yaogope sana. Kwenye keyboard ulikuwa unawatusi hadi majobless eti kisa unaingiza mil.25 kwa kuuza ufuta na mihogo pia milion 50 kila mwaka kwa miaka mi3 kupitia kilimo