Nimeacha kazi rasmi, naenda kwenye umachinga

 
Kilichonitokea baaada ya kuacha kazi sinto kaa nisahau nitaleta uzi soon
 
Kama hujapata fremu pale kuna mgambo wa jiji kila siku wanaruka na kukanyagana na machinga mkuu. Uwe makini nao mkuu.
 
ameshawishiwa na 'motivesheno supika'.

wamemwambia umachinga unalipa sana, eti baada ya mwezi mmoja tu wa kufanya umachinga anakuwa milionea.[emoji16]
Wamemwambia kuajiriwa ni utumwa eeh!!! Uhondo wa ngoma atauona Sasa.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
napatikana Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kama machinga mdogo tu wa earphones, redio na vitu vingine vidogo vidogo wakuu!
Hongera kwa ubunifu wa tangazo, limekaa kijanja sana yani kama vile hutangazi.

Haya Lipia tangazo
 
Usiache kazi bila kujipanga chief hata kama ofisini pana makwazo.
njaa itakuja kukuua magetoni na hakuna wa kusaidia.

coz unaonekana una frustrations
Ufu 21:8 SUV
"Bali WAOGA , na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili".
Woga ni dhambi
 
Kazi Ni Kazi Cha Muhimu Iwe Halari Isiyotweza Utu Wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…