bidam90
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 273
- 202
Dogo acha uongo hakuna 3rd hata moja acyeijuwa BOP au drilling rig hata awe kilaza vp!inaonekana we ni first year huwezi kujilinganisha hata cku 1 na mwanafunzi wa mwaka wa 3!c ajabu umezitaja tu hujui hata zinafanyaje kazi!kawaida first yr ukishafundishwa introduction tu ya kozi flan unajiona ushajuwa, kuna vitu vingi sana dogo bado unatakiwa kujifunza nikikuuliza tofauti ya BOP na wellhead au x-mas tree utashindwa kunijibu so ts better ukanyamaza kuliko kuongeya uongo!UDOM ni mwaka wa 4 sasa inatoa petroleum na wanafunzi wakimaliza kazi wanapata kwa mfano mwaka huu wamegraduate wanafunzi 17!hata kabla ya UE wanafunzi wa5 walichukuliwa na Pan-african energy!so usimdharau m2 kisa katoka chuo flan ni uwezo wa mtu binafs tu!Course za kienyeji enyeji hizo mpk data star na eagle wing wanazo...
Ukitaka kujua utamu wa udsm, kamata m/funzi wa CoET, CoNAS au kitivo cha sheria, then compare na m/funzi wa chuo kingine...
Nilikua field Puma Energy na w/funzi udom 3rd yr petro. Eng. M/funzi hajui kbs hata zile essentials ndogo ndogo, ukimwambia drilling rigs, blowout preventer, drilling bits, pipe tongs, drill pipe elevator, stingers, swellable packers, phase separation gas/oil mixture, oil dehydration and desalting, ata ukimwambia 2nd phase separation of oil-water emulsion anabaki anakutumbulia mijicho...
Hadhi ya UDSM ipo pale²