Nimeacha kudharau wanaosoma vyuo tofauti na UDSM

Dogo acha uongo hakuna 3rd hata moja acyeijuwa BOP au drilling rig hata awe kilaza vp!inaonekana we ni first year huwezi kujilinganisha hata cku 1 na mwanafunzi wa mwaka wa 3!c ajabu umezitaja tu hujui hata zinafanyaje kazi!kawaida first yr ukishafundishwa introduction tu ya kozi flan unajiona ushajuwa, kuna vitu vingi sana dogo bado unatakiwa kujifunza nikikuuliza tofauti ya BOP na wellhead au x-mas tree utashindwa kunijibu so ts better ukanyamaza kuliko kuongeya uongo!UDOM ni mwaka wa 4 sasa inatoa petroleum na wanafunzi wakimaliza kazi wanapata kwa mfano mwaka huu wamegraduate wanafunzi 17!hata kabla ya UE wanafunzi wa5 walichukuliwa na Pan-african energy!so usimdharau m2 kisa katoka chuo flan ni uwezo wa mtu binafs tu!
 

Institute of Tax Administration ni chuo kinachoendeshwa na TRA kiko mikocheni dar, hata wakufunzi wa hicho chuo wengi ni wafanyakazi wa TRA, wanafunzi wako vizuri sana kwa kuwa wanafundishwa kazi siyo theories kama vyuo vingine
 
Kwanza 3rd yr wote wamefanyia field mtwara (STATOIL) sa cjui ni 3rd wap unao wazungumziya wewe!
 
Kwanza 3rd yr wote wamefanyia field mtwara (STATOIL) sa cjui ni 3rd wap unao wazungumziya wewe
 
Acha bangi wewe, ishi maisha yako na sio kuishi kwa hisia pwagu wewe.

Dogo mziki wangu huuwezi hata nukta....

Kijana walikuwepo wenzio akina Perry... holygrail Mpigamsuli Darius na wengine wengi but tunashukuru wamekuwa wastaarabu now kwa exposure waloipata

Endelea kwa sasa sitahangaika nawewe nenda kajue kwanza chuo kikoje halafu urudi
 
Last edited by a moderator:


Mkuu humu unaobishana nao wengi ni first year au ndo wanaotarajia kujiunga na chuo so be careful
 


Mimi ni shahidi mwezi wa nane nilikuwa safarini nikakutana na graduate wa UDOM petroleum akasema tayari keshapata kazi sasa wewe kalia na udsm yako uone itakufikisha wapi!!
 
unawadharau wa chio flan halafu hata ww hujamalza! dah kuna watu wanafikiria kwa kamasi sio ubongo
 
narudia kusema..me sidharau tena mtu na chuo anachosoma
 
we uko shallow tu. Si umedungwa sup juzi.
 

With all due respect, sorry mkuu lusungo let it be passed and gone. Tusonge mbele.
 
Last edited by a moderator:
 

Hahaha muda umefika by mpigamsuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…