Nimeacha kudharau wanaosoma vyuo tofauti na UDSM

Utazunguka kila bucha, lakini nyama ndio ile ile... So far goodwill or image ya chuo ina mchango wake!
 

Ngoja nikusaidie tatizo si chuo unachosoma tatizo cozi unayochukua, we hata usone oxford kama coz kwa bongo hapa hailipi ni hailipi tu, kwa mfano mtu unachukua procurement and supplier unategemea itakuwa raisi kupata kazi bongo hapa? Ila civil eng or dictor akisema ajira ngum mchape vibao
 
Tena makubwa,niko shirikani na staff tuko 57 lkn hakuna ht mmoja toka udsm. Ni watu toka saut,open university na vyuo vingine na tunafanya vzr tu.

waliamua kuchukua vilaza hahahahaha
 

Huoni kama hilo ni tatizo la mwanafunzi mwenyewe na wala si chuo??
 
Katika ulimwengu wa sasa tunatazama ni kwa namna gani unaweza ku convert knowledge uloipata chuoni kwenda kwenye practice? Je, upo tayari kuhimili ushindani katika soko la ajira au theories zimejaa akilini mwako! Si muda wa kubeza chuo kingine na kusifia chuo chako.Jiulize we ni msomi au ulisoma tu!
 
Wewe dogo hata first year hujaanza unapiga kelele hapa.

Embu subiri kuanzia 2017 ndio upige kelele humu.

Ww mjinga sana, unakurupuka kwa kudandia treni kwa mbele, ngoja nikupuuze bure.
 

Huyo atakuwa na matatizo individual ,hivi vitu ulivyovitaja nusu nimevielewa mbali sikusoma Petrolium eng,
 
Udsm ndiyo chuo kikuu pekee vingine vyote ni vyuo vikuu shiriki au sekondari zilizo pandishwa hadhi, vijana wa udsm wako makini ile mikikimikiki ya yombo thieter a 1 coet misemina lazima uwe fiti mtaani hadi kazini
 

utakuwa muhaya wewe chonka naiweee.......
 

Kumbe bado unasoma,kwa hiyo ulijipima wewe mwanafunzi na hao vijana wafanyakazi? Au graduate wa Udsm na wa ITA? Ulitumia njia gan kuangalia perfomance? Subiri boom urudi zako chuo.
 
Ahya mkuu lakini ukweli utasimama daima kuwa vyuo nchini ni UDSM MZUMBE SUA na ARDHI hivyo vingine vyote ni asante Jakaya.

Nakukumbuka Zamani zile nilipokuwa na ID tofauti na hii, ulivyokuwa ukiwashauri wenzio kusoma combination/ course za science. Halafu ndo kwanza ulikuwa umemaliza form four!
 
maneno ya wakosaji,,sijui kuna shida gani kila anaekosa udsm anaishia kuiponda tu...ndo ukweli kwa mfano vile!
 
Kwahiyo sasa hivi nipo Form ngapi mkuu nimeshamaliza Form6 au vipi?

I hope utakuwa Ly ( last year) au ushamaliza kabisa! Halafu si ndo nyie mnasomaga mpaka mwaka wa 4-5? Ulinikwaza sana ukizingatia mi nilisomaga HKL! But am glad mtaa unatufundisha maisha! Nilikuwa nakutafuta siku moja nikukumbushe hope ulikuwa utoto tu!
 
kama upo muccobs lazima upige makofi ukimaliza kusoma hii thread!

Kama mi nilivyofurahi??? Kwa sababu nilisoma diploma Muccobs enzi zile! Ila mambo yananiendeaje kazini!! Malizeni Vyuo mje mtaani vijana! Tulioko makazini hatuachi kazi ng'oo labda tufe! Teh teh
 

Hahaha mkuu unajua ile thread nilipost kwa ID yangu nyingine ya aranblue so mods wakaamua kuimergeout kwa real ID yangu, but i did that for the specific purpose ili kuuvaa uhusika japo in real sense i not meant what i wrote, so it was kindly of gossip thread na ndio kawaida ya JF watu huwa tunajichetua akili ili maisha yaende.

Justly forget about that.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…