Kama mi nilivyofurahi??? Kwa sababu nilisoma diploma Muccobs enzi zile! Ila mambo yananiendeaje kazini!! Malizeni Vyuo mje mtaani vijana! Tulioko makazini hatuachi kazi ng'oo labda tufe! Teh teh
Wewe mtoto ungekuwa na akili ungekuwa ukikesha unaomba bodi wakupe mkopo.
Maana inaonekana unaotaka kila siku kwenda chuo.
ebola ipo njiani! Angalizo tu kwa mfano vile...utang'atuka tu hata kama we binti kiziwi et
Hahaha mkuu unajua ile thread nilipost kwa ID yangu nyingine ya aranblue so mods wakaamua kuimergeout kwa real ID yangu, but i did that for the specific purpose ili kuuvaa uhusika japo in real sense i not meant what i wrote, so it was kindly of gossip thread na ndio kawaida ya JF watu huwa tunajichetua akili ili maisha yaende.
Justly forget about that.
Unatembea na vitambulisho mpaka kwenye restaurant haha unatuaibisha wasomiHahaah nimekuelewa mkuu, mtaani pagumu nilipo pata kazi nilivaaje ID ya kazini! Hahaah hadi restaurant siku moja thread moja ya wavaa vitambulisho ilinitachije? Sema nishaga acha!
Kwani huwez kudanganya juu ya hili?tutaamini vipi kua ni kweli hakuna wa UDSM?
Kwa kweli, nilikua nadharau sana watu ambao hawasomi au hawajasoma UDSM ila ulikua ni utoto tu, sasa imetokea nimeenda kufanya field practical pale TRA makao makuu, ebana nimekutana na vijana wanasoma kachuo flani kadogo tu kanaitwa ITA {Institute of tax administration} hata cjui kako wapi kwa hapa Dar, vijana wako vizuri sana katika masuala ya kodi, na TRA wanaonekana kuwakubali sana, kuna vijana wana diploma tu lakini mkwanja wanaovuta ni balaa.
Ninachotaka kuwashauri wadogo zangu ni hvi,usikimbilie kusoma udsm au chuo kingne chenye jina hapa bongo likozi la ajabu ili tu nawe uonekane eti unasoma udsm au chuo flan maarufu.kozi za udsm ni zle zle kama zinazotolewa na vyuo vingne hvo ushndani ni mkubwa sana katka soko la ajira,angalieni kozi ambazo zina channel za moja kwa moja katika ajira..
sasa we kimbilia bcom,bba,baf na zingne za aina hyo then uje usugue soli mtaani mpaka ufurahi.
Nshawahi kusema ukiona mtu anavimba kichwa kisa chuo fulani jua ni mburura.Chuo ni wewe mwenyewe,mimi nimesoma ualimu Udom na nimepiga interview za tume ya ajira na nkapata job nafundisha Kibaha girls hapa Shirika la Elimu Kibaha.
Na interview tulofaulu wapo mchanganyiko wa udom.udsm.mum.suz.sua n.k.Nikimaanisha uone sasa kwenye field ya kazi waajiri hawaangalii eti chuo fulani bali wewe upoje kiuwezo.
Kupanga ni kuchagua wewe kula bata kisa upo udsm.ardhi.sua.udom.nk then kichwa kirudi kitupu uone kama kazini utapewa kwa jina la chuo.Maana hata ajira za moja kwa moja kama ualimu mkishakuja ingawa hakuna usaili mashuleni tunawaona hadi lesson plan kuandaa shida.
Mimi juzi nimewapokea wa field na wapo ambao ni majanga na wengine safi na sijaona eti chuo fulani wapo sawa zaidi ya wengine.
Sasa nyie kalia sifa za vyuo wenzenu na udom zetu tupo mashirika ya umma tunapiga PTSS 11,
Kwa kweli, nilikua nadharau sana watu ambao hawasomi au hawajasoma UDSM ila ulikua ni utoto tu, sasa imetokea nimeenda kufanya field practical pale TRA makao makuu, ebana nimekutana na vijana wanasoma kachuo flani kadogo tu kanaitwa ITA {Institute of tax administration} hata cjui kako wapi kwa hapa Dar, vijana wako vizuri sana katika masuala ya kodi, na TRA wanaonekana kuwakubali sana, kuna vijana wana diploma tu lakini mkwanja wanaovuta ni balaa.
Ninachotaka kuwashauri wadogo zangu ni hvi,usikimbilie kusoma udsm au chuo kingne chenye jina hapa bongo likozi la ajabu ili tu nawe uonekane eti unasoma udsm au chuo flan maarufu.kozi za udsm ni zle zle kama zinazotolewa na vyuo vingne hvo ushndani ni mkubwa sana katka soko la ajira,angalieni kozi ambazo zina channel za moja kwa moja katika ajira..
sasa we kimbilia bcom,bba,baf na zingne za aina hyo then uje usugue soli mtaani mpaka ufurahi.
kijana itabidi ujitume zaidi. Hiyo PTSS 11 ni ya kununulia nyanya chungu. Kama unahitaji kujenga nyumba, kusomesha watoto n.k, basi unatakiwa uanzishe biashara au uachane na hiyo kazi yako na utafute ajira nyingine inayolipa zaidi.
Kwa kweli, nilikua nadharau sana watu ambao hawasomi au hawajasoma UDSM ila ulikua ni utoto tu, sasa imetokea nimeenda kufanya field practical pale TRA makao makuu, ebana nimekutana na vijana wanasoma kachuo flani kadogo tu kanaitwa ITA {Institute of tax administration} hata cjui kako wapi kwa hapa Dar, vijana wako vizuri sana katika masuala ya kodi, na TRA wanaonekana kuwakubali sana, kuna vijana wana diploma tu lakini mkwanja wanaovuta ni balaa.
Ninachotaka kuwashauri wadogo zangu ni hvi,usikimbilie kusoma udsm au chuo kingne chenye jina hapa bongo likozi la ajabu ili tu nawe uonekane eti unasoma udsm au chuo flan maarufu.kozi za udsm ni zle zle kama zinazotolewa na vyuo vingne hvo ushndani ni mkubwa sana katka soko la ajira,angalieni kozi ambazo zina channel za moja kwa moja katika ajira..
sasa we kimbilia bcom,bba,baf na zingne za aina hyo then uje usugue soli mtaani mpaka ufurahi.
jina la chuo halikupi ajira bali jitihada zako ktk kile unachokisoma
how competent you are? +gpa nzuri! ndo mpango mtaa