Nimeacha kuishabikia Arsenal

Mzee Wenger Ni mtu mmoja mpuuzi sana sijawahi kuona! Nikiwa nasoma kuna siku na miss kuiingia class kisa huyu mzee, kama una roho nyepesi unaweza ukazeeka ukiwa bado kijana!
 
Sahihisho: Chelsea walisubiri kwa miaka 50 na Man City ni zaidi ya miaka 40.
Nyongeza:
Wenger ndiye Kocha pekee aliyeweza kuchukua Ubingwa wa EPL pasipo kufungwa hata mchezo mmoja. Wenger ndiye Kocha wa pili kuchukua vikombe 6 vya FA. Hapa hata Ferguson hagusi.
Huyu ni Kocha ambaye kaisaidia Arsenal kupata mafanikio ya kujenga Uwanja wenye viwango bora kabisa duniani huku akihakikisha timu yake haikosi michuano ya Klabu Bingwa Ulaya kwa miaka zaidi ya 18! Hayo ni kwa uchache.
Ni shabiki mjinga pekee anayeweza kumponda Arsene Wenger. Kuna tofauti kati ya maamuzi ya Kocha na Sera za Klabu husika.
 

Mpira ni vikombe si kujenga uwanja.
 
Na mwaka huu naona dalili za wengi kuhama hiyo timu.
 
Mzee Wenger Ni mtu mmoja mpuuzi sana sijawahi kuona! Nikiwa nasoma kuna siku na miss kuiingia class kisa huyu mzee, kama una roho nyepesi unaweza ukazeeka ukiwa bado kijana!

Akianza kushinda mechi 4 mfululizo mnatulia
 
Wewe nae Arsenal tu... Hahaaaa
 
Wakati Wenger anasingizia uwanja kutonunua wachezaji, West Ham wamepata uwanja wa Olympic, Man City wamepata uwanja uliotumika commonwealth games. Ni kujipanga tu wala haihitaji mtu kuwa special kwa timu hizi kubwa kuwa na uwanja.
Hadi leo bado unaongelea kushiriki champions league? Timu kubwa zinashindana nani kachukua mara nyingi, nyinyi bado mnashindana mmeshiriki mara ngapi? Typical Arsenal mentality.
 

Umeongea ukweli
 
Nina rafiki angu alihama toka Arsenal kwenda Man City miaka mitatu iliopita.
Hadi leo hajutii maamuzi yake.
 
Kwenye ushabiki wa mpira huhami timu
Huyo alikuwa shabiki maandazi

Usikariri mkuu.
Timu sio dini au ndoa. Shabiki anaangalia maslahi yake ambayo ni ushindi.
Kama hupati kwa muda mrefu unaachana nayo.
 
Mkuu once a fan of a particular team and that's it
Win or lose
Ndio maana Kikwete hadi kesho yeye ni shabiki wa Magpies - Newcastle
 
Hizo legacy weka pembeni, tunataka trophies!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…