Nimeacha kuishabikia Arsenal

Kwa kuwa wewe ni shabiki basi sikushangai.sie wengine sio washabiki,ni wapenzi.mie ni mpenzi wa kibibi kizee cha turin tangu 1992 na nimeshuka nacho daraja 2006 nikawa nafuatilia matokeo yao ya seria b kwenye internet,nikaumia nayo kwa miaka yote hadi hivi leo tunaipiga chelsea na Celtic goli tatu,machozi yananitoka kwa furaha.nakushauri uwe mpenzi!
 
Kwa wanaomkejeli ngongo eti ni glory hunter niwaulize ni nani hapa asiye glory hunter?

Mashabiki wa arsenal mmeanza lini kushabikia timu yenu kama si nyakati za invincibles?

Prior mourinho era kuna yeyote alikuwa shabiki wa chelsea?

Unajua kwanini mashabiki wengi wa liverpool ni watu wazima?

Mimi mwenyewe nilikuwa shabiki wa liverpool enzi za gazeti la mfanyakazi na mzalendo ukinunua gazeti kurasa za michezo unakuta ian rush katupia 3 john barnes 2

Miaka kama 19 iliyopita machale yakanicheza kama yalivyomcheza ngongo nikahamia man utd,nina furaha siku zote

Vishabiki mburula vya barca viulize kama vilikuwa vinashabikia barca nyakati madrid inatamba na kina fernando hierro
 

Mtoto wa Mjini,

Mimi ni Arsenal damu na sijawahi kufikiria hayo ya kuhangaika huku na kule.
 
welcome to the old traford...the place where people are happy every day!
 
Mkuu Wacha1 wakati huo nilikuwa Man kwa mkopo au unajifanya hujui maana ya mkopo,ngoja nikupe darsa kidogo Fabio ni mchezaji wa Man Utd kapelekwa QPR kwa mkopo msimu mzima sasa kama mchezaji anaweza kwenda club nyingine kwa mkopo shabiki inashindikana nini !,ha ha ha ha ha tangu nimejiunga Mau Utd nimeongezeka kilo kadhaa.
 
Pole kwa kuhamia club ya Rose Muhando (Club NIBEBE NIBEEBE!!)
 
hukua shabiki wa kweli,wenzio twafa na tai shingoni!
hakuna kukata tamaa,one day yes bna!
 
Karibu katika nyumba ya makombe mkuu wangu Ngongo, msimu huu tunachukua ubingwa wa 20 kama # ya jezi ya RvP. kule Arsenal maisha yako yangekuwa mafupi sana kuishi duniani, umefanya uamuzi wa kupongezwa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mamluki (plastic Fan). Hao Manyoo wakianza kufanya ovyo utahamia wapi? Man city au.
 
Sidhani kama wewe ni shabiki wa Gunners,iweje uifaguilie Man U kihivyo?
 
Mkuu wangu Ulimakafu nilikuwa shabiki namba moja wa The Gunners lakini kadri siku zilivyokuwa zikisonga mbele uzalendo ukawaunanishinda kama unabisha muulize Wacha1 siku tulipochapwa na Man Utd goli 8 tulilia wote kwa uchungu mkubwa sana mwenzangu ana roho ya Paka mpaka leo bado yuko na Mr Bean.

Sidhani kama wewe ni shabiki wa Gunners,iweje uifaguilie Man U kihivyo?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha King2 siwezi hama Man U umri umeshasonga mbele sana.

Wewe ni mamluki (plastic Fan). Hao Manyoo wakianza kufanya ovyo utahamia wapi? Man city au.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kusoma comments zote, Arsenal kimewatachi kwelikweli yaani wanashusha presha zao ipasavyo....!!! khe khe khe Wacha1, pole mkuu!!
 
Last edited by a moderator:

Hii picha ni moja wapo ya sababu zilizonifanya nijiunge na hili chama kubwa.


 
Kwa kusoma comments zote, Arsenal kimewatachi kwelikweli yaani wanashusha presha zao ipasavyo....!!! khe khe khe Wacha1, pole mkuu!!

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kumbe hata wewe ulikuwa hujui kwamba ngongo ni shoga khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chacha mimi iniume nini wakati m k * n d * ni wake khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Yuck!! EWW!!...This is not coming from you mkuu??!!!..me didn't like it Wacha1..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…