juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Kwa kuwa wewe ni shabiki basi sikushangai.sie wengine sio washabiki,ni wapenzi.mie ni mpenzi wa kibibi kizee cha turin tangu 1992 na nimeshuka nacho daraja 2006 nikawa nafuatilia matokeo yao ya seria b kwenye internet,nikaumia nayo kwa miaka yote hadi hivi leo tunaipiga chelsea na Celtic goli tatu,machozi yananitoka kwa furaha.nakushauri uwe mpenzi!