Yaani zinaonekana kama bidhaa feki zinazopambwa ili zifae. Bahati mbaya kipindi Chao Kiko asubuhi wakati ambao watu serious wanataka kusikia vitu serious vya kuanzia siku, badala muda unaisha watangazaji wanapiga kelele na mayoe kama wehu. Siku zote lazima uijue audience (hadhira) yako.Itisha maandamano ya amani ya kupinga namna anavyosifia matangazo
Kitenge vp?Unategemea nini kwa watangazaji wenye elimu ya darasa la 7 Zembwela, Mpoki, Steve Nyerere etc
Ndo iliyomfikosha pale mkuuZembwela ana saiti mbaya sana inakwaruza na ina makelele, inakera kumsikiliza
Mbaya zaidi anajiona bingwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hafai kwenye vipindi vya asubuhi kwa kweli, kuna watu kama Masoud Kipanya , Gerald Hando na wale jamaa watatu wa EA Radio , hao ndio wana sauti nzuri.Zembwela ana saiti mbaya sana inakwaruza na ina makelele, inakera kumsikiliza
Mbaya zaidi anajiona bingwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata ww Mama una Sauti nzuriHafai kwenye vipindi vya asubuhi kwa kweli, kuna watu kama Masoud Kipanya , Gerald Hando na wale jamaa watatu wa EA Radio , hao ndio wana sauti nzuri.
Akhsante binti yangu. Mumeo anaendeleaje huko!? Ujauzito wako unaendeleaje!? Nina hamu ya kumuona mjukuu wangu wa nne. Jitunze mama.Hata ww Mama una Sauti nzuri
Kujifanya ujuaji sema tu kwenye masuala yakielimu anakua mpole na mwwnye adabu sababu no schoolZimbwela bwana.
Amenifanya nimeacha kusikiliza Redio ya Wasafi asubuhi.
Huyu jamaa anafanya comedy hata kwenye serious issues, anatengeneza kelele masikioni na kupoteza muda wa wasikilizaji wake akidhani kuwa wasikilizaji wako tayari kusikiliza kila kitu anachosema na kufanya kwenye studio, ananiboa.
Hata bidhaa anazozitangaza ninaziona kama zisizo na ubora kwa namna anavyopitiliza kuzinadi. Anasahau kuwa "kizuri kinajiuza na kibaya kinajitembeza na kupambwa mno".
Anachohitaji mtu kwenye bidhaa ni kujua jina la bidhaa, aina na ubora wake dhidi ya bidhaa nyingine zilizoko kwenye soko ova!
Sijui kama hii inanipata mimi tu.
Anawaboa hata watangazaji wenzake kwenye kipindi, ni hiyo watafanyaje tu.anajiita beberu...anaboa sana aongei kwa mtiririko plus wenge anafaa akae karikoo ila spika hizi za kichina zimeharibu kazi kuna watu wangemudu hiyo kazi kwa ufanisi
Radio zetu sahv zinataka watu aina hiiAnawaboa hata watangazaji wenzake kwenye kipindi, ni hiyo watafanyaje tu.
DuhZembwela ni [emoji2380][emoji2380][emoji2380]
Ukibisha hujaujua mji bado