kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #61
Yaani zinaonekana kama bidhaa feki zinazopambwa ili zifae. Bahati mbaya kipindi Chao Kiko asubuhi wakati ambao watu serious wanataka kusikia vitu serious vya kuanzia siku, badala muda unaisha watangazaji wanapiga kelele na mayoe kama wehu. Siku zote lazima uijue audience (hadhira) yako.Itisha maandamano ya amani ya kupinga namna anavyosifia matangazo
Mfano, unapotangaza bidhaa ya sh. Zaidi ya laki 3 maana yake unaowalenga sio bodaboda na machinga wanaoiza mashati 2 barabarani, unawaambia watu wenye nguvu ya manunuzi. Watu wenye high purchasing power hawapendi lugha za kupayuka