Nimeacha na ninakwepa sana kwenda nyumbani kwa Mjomba wangu kuepusha Matatizo ya Kifamilia

Miaka zaidi ya 40, siyo tu kuandika hata kufikiria kitu kama hicho umri wake hauruhusu. Yaani angezaa akiwa na miaka 20, huyo ni mtoto wake wa kuzaa.
Waswahili ni wanafiki sana.yaani pamoja na kusema ukweli na kukinga bado mnatafuta unafiq wa kujifanya ni wabora kuliko mtu ambaye amegundua tatizo na kuliepuka? Ndo maana mnaburuzwa sana na wanasiasa. Wehu nyie manafiq wakubwa😁😜
 
Miaka 44 bado unaendeshwa na kichwa cha chini izo tamaa.
Waswahili ni wanafiki sana.yaani pamoja na kusema ukweli na kukinga bado mnatafuta unafiq wa kujifanya ni wabora kuliko mtu ambaye amegundua tatizo na kuliepuka? Ndo maana mnaburuzwa sana na wanasiasa. Wehu nyie manafiq wakubwa😁😜
 
Inasikitisha sana kuona mtu kama wewe tena mwanafamilia unawaza ujinga kama huo juu ya mdogo wako ambae ni damu yako kabisaa

Hapa wamama tupate funzo, ukishakua na mabinti nyumbani hawa wageni wengine sio wakuwachekea, ni kuwapiga pini tu
Waswahili ni wanafiki sana.yaani pamoja na kusema ukweli na kukinga bado mnatafuta unafiq wa kujifanya ni wabora kuliko mtu ambaye amegundua tatizo na kuliepuka? Ndo maana mnaburuzwa sana na wanasiasa. Wehu nyie manafiq wakubwa😁😜
 
Unatuaibisha wahenga wenzio kamanda. Miaka 42 bado unafikiri kuchakata katoto ka mjomba wako ambako unakazidi miaka 20? Badala ya kufikiri utakasaidiaje kwenye mambo ya elimu huko na kukapa miongozo ya kimaisha kihali na mali?

Hata kama kabila lenu linaruhusu kuchakata mtoto wa mjomba wako lakini waachie haya mawazo vijana wa below 30. Aibu sana hii aisee!

Mtoto wa mjomba ni sawa na mtoto wa Mama yako,unaweza vipi kumtamani mtoto wa Mama yako?!Una kichaaa?
 
Pale ulipohitimishia angalau pameendana na umri wako wa miaka 22+20 = 42.

Lakini kule kwingine kote umeandika utopolo kama ndio una miaka 18 balehe balehe inaanza kushika kasi
 
Unatuaibisha wahenga wenzio kamanda. Miaka 42 bado unafikiri kuchakata katoto ka mjomba wako ambako unakazidi miaka 20? Badala ya kufikiri utakasaidiaje kwenye mambo ya elimu huko na kukapa miongozo ya kimaisha kihali na mali?

Hata kama kabila lenu linaruhusu kuchakata mtoto wa mjomba wako lakini waachie haya mawazo vijana wa below 30. Aibu sana hii aisee!
Hata mimi mhenga mkuu nimefadhaika sana
 
Back
Top Bottom