Nimeacha na ninakwepa sana kwenda nyumbani kwa Mjomba wangu kuepusha Matatizo ya Kifamilia

Nimeacha na ninakwepa sana kwenda nyumbani kwa Mjomba wangu kuepusha Matatizo ya Kifamilia

Basi nimemwelewa vibaya mkuu.
Usiichukulie JF kisiriaz kihivyo kiongozi wangu. Waweza kukuta hapa ni stori ya kutunga tu, au anamzungumzia baamedi mpya kwenye baa ya jirani. Hapa JF kila mtu anapenda attention... katika hali ya kawaida mtu mzima wa miaka 42 hawezi kuandika upupu wa kumtamani mtoto wa kaka yake mama... wakati dunia imejaa mabinti warembo wengi tu wasiojua kukataa kuliwa tunda kimasihara
 
Miaka 42 ni mtu mzima ambaye tunategemea yupo kwenye mishe mishe za maisha na familia.. Muda wa kwenda kwa mjomba na kukutana na huyo bint unatoka wap..

Hii likizo itakuwa ndefu, kwan shule zinafunguliwa tarehe ngap
 
Uandishi wako na hzo 40s hata hufananii, wewe ni dogo kama dogo na kama una umri huo basi ni kubwa jinga.
40s kwa mjomba yako unaenda kufanya nini?.Huna familia?.
Thread nyingine bhana.
 
Uncle alifanikiwa kuoa mke mzuri akamzalia kitoto kizuri cha kike miaka ya nyuma kilikuwa kidogo tu nimekizidi miaka 20 imagine chenyewe ndio kinazaliwa.

Leo hii kimefikisha miaka 22 kimeiva, hips zimechomoka, shavu dodo, kiuno nyigu Ngozi kama imepigwa msasa laini. Yaani ni hatari nimejikuta napata majaribu mengi sana kwa kweli.

Mtoto amekua na anafaa kabisa kuliwa na yeye ananiona mimi bonge la bro...umarekani marekani mwingi sana. Namcheckii halafu nasema "Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii" bhaghosha....kwa kweli Muumba aingilie kati tu.

Basi ili nisisababishe matatizo ya kifamilia nimeamua kukata mguu kabisa kwa Mjomba maana sasa kame graduate ndio kabisa kapo home. Nikienda hivi mpaka kanasema "bro unaniangalia mpaka nashindwa tembea" basi hapo nacheka cheka tu kama fala.

Niliona sababu mimi ni mtu mzima najielewa, nina akili, busara, hekima na elimu ya juu basi niamue jambo la busara siendi kwa uncle hata iweje nmekuwa nikigoma kabisa kwenda maana naona tutatafutiana lawama tu siku za usoni.

Nawashauri vijana ukiona kama kuna jambo linakuvutia ila si sahihi likwepe mimi sitokanyaga tena kwa mjomba labda yule binti akiondoka.
Binamu kinyama cha hamu
 
Miaka 42 ni mtu mzima ambaye tunategemea yupo kwenye mishe mishe za maisha na familia.. Muda wa kwenda kwa mjomba na kukutana na huyo bint unatoka wap..

Hii likizo itakuwa ndefu, kwan shule zinafunguliwa tarehe ngap
Tarehe 1/12/2020 unataka kuja na wewe?
 
Uandishi wako na hzo 40s hata hufananii, wewe ni dogo kama dogo na kama una umri huo basi ni kubwa jinga.
40s kwa mjomba yako unaenda kufanya nini?.Huna familia?.
Thread nyingine bhana.
We mbona umri huo unakaa kwa shemeji yako aliyemuoa mdogo wako wa mwisho?hapo si mmeolewa wote.
 
Waswahili ni wanafiki sana.yaani pamoja na kusema ukweli na kukinga bado mnatafuta unafiq wa kujifanya ni wabora kuliko mtu ambaye amegundua tatizo na kuliepuka? Ndo maana mnaburuzwa sana na wanasiasa. Wehu nyie manafiq wakubwa[emoji16][emoji12]
Wewe unaweza mtamani mtoto wa mjomba wako? Huyo ni sawa na mwanao wa kumzaa, unafiki ni pale unamtamani hadi mwanao wa kumzaa huo ni ufisi
 
Umekizidi miaka 20, na kenyewe sahii kako 22, nimewaza utakuwa umekula chumvi tani ngapi mpaka sahii, mwisho wa siku babu kijana kama wewe unakuja na siredi kama hii maskiiini..!😕
😂😂😂 sema nini, jamaa bado "kijana" kwa tafsiri ya kuwa kijana ni between 18–45. Lakini hichi alichoandika ni cha kijana wa 18–21 😂
 
Kama ungekuwa na hizo busara, hekima, elimu ya juu usingeyawaza hayo uliyoyawaza juu ya mtoto mwenye utofauti nawe wa umri zaidi ya miaka 20. Eti "asinitafutie lawama bure" Hiyo hekima na busara zinatokea wapi hapo?
Kwa umri wako ni mtu mwenye familia yako, unayewaza maendeleo ya watoto wako including huyo mtoto wa uncle wako maana ni mwanao pia.
Yaani nina maswali mengi kutokana na maelezo yako kuliko thread inavyoweza kujibu.
 
Acheni roho mbaya binti akaolewe na nani sasa?
Waoaji siku hizi hkn.
miaka 40 ana uzee gani?
Mahanithi bana ndo zao hizo. Wanataka dada binamu ahangaike awe km wao wafurahi.
Mleta mada wee angalia dada yu radhi? Mila zinaruhusu? Chakata mzigo huo! Acha ufara
Basi ukisikiliza mahanithi humu unachelewa kwa kujichekesha utajilaumu. Hata yakobo alimpenda Rahel hkn dhambi hapo.akapewa leah.
Mi-mbwa Inaona wivu haiwezi kuchakatwa mabasha hkn siku hizi. Inataka wa kulia lia muwe wengi
Narudia sijakosea chakata mzigo huo km wewe si wa kupepea. Binadamu akilipa tu mpe haki yake. Subiri waje wakufanyie mbele ya macho yako mfyuuuxc!!!
 
Kwenye kutamani mtoto wa mjomba hapo ndiyo pako na shida kwa upande wangu.
 
Umekizidi miaka 20, na kenyewe sahii kako 22, nimewaza utakuwa umekula chumvi tani ngapi mpaka sahii, mwisho wa siku babu kijana kama wewe unakuja na siredi kama hii maskiiini..!😕
Ukiachilia mbali umri....zile feelings kwamba this is my blood, my family how do I develop sinful desires haiji kabisa?
 
Acheni roho mbaya binti akaolewe na nani sasa?
Waoaji siku hizi hkn.
miaka 40 ana uzee gani?
Mahanithi bana ndo zao hizo. Wanataka dada binamu ahangaike awe km wao wafurahi.
Mleta mada wee angalia dada yu radhi? Mila zinaruhusu? Chakata mzigo huo! Acha ufara
Basi ukisikiliza mahanithi humu unachelewa kwa kujichekesha utajilaumu. Hata yakobo alimpenda Rahel hkn dhambi hapo.akapewa leah.
Mi-mbwa Inaona wivu haiwezi kuchakatwa mabasha hkn siku hizi. Inataka wa kulia lia muwe wengi
Narudia sijakosea chakata mzigo huo km wewe si wa kupepea. Binadamu akilipa tu mpe haki yake. Subiri waje wakufanyie mbele ya macho yako mfyuuuxc!!!
We ------ umegundua anamuongelea ndugu yake ama Ukisha ----- akili inakutoka.
 
Kama ambavyo wewe ulilalwa na baba ako? Unaamini wanaume wote wanafanya hayo?😁

Kwa mawazo ya mtoa mada sishangai kitandani hata binti zake m. Mimi sijatoka familia ya laana tafadhali wewe kama baba ako analala na dada zako na wewe na na mama ako na mawazo yote ni kuwa za ngono na wana familia mrudie Mungu Coz it will pass to four generations. All the best
 
Back
Top Bottom