Nimeacha na ninakwepa sana kwenda nyumbani kwa Mjomba wangu kuepusha Matatizo ya Kifamilia

Uncle alifanikiwa kuoa mke mzuri akamzalia kitoto kizuri cha kike miaka ya nyuma kilikuwa kidogo tu nimekizidi miaka 20 imagine chenyewe ndio kinazaliwa.

Leo hii kimefikisha miaka 22 kimeiva, hips zimechomoka, shavu dodo, kiuno nyigu Ngozi kama imepigwa msasa laini. Yaani ni hatari nimejikuta napata majaribu mengi sana kwa kweli.

Mtoto amekua na anafaa kabisa kuliwa na yeye ananiona mimi bonge la bro...umarekani marekani mwingi sana. Namcheckii halafu nasema "Hiiiiiiiiiiiiiiiiii" bhaghosha....kwa kweli Muumba aingilie kati tu.

Basi ili nisisababishe matatizo ya kifamilia nimeamua kukata mguu kabisa kwa Mjomba maana sasa kame graduate ndio kabisa kapo home. Nikienda hivi mpaka kanasema "bro unaniangalia mpaka nashindwa tembea" basi hapo nacheka cheka tu kama fala.

Niliona sababu mimi ni mtu mzima najielewa, nina akili, busara, hekima na elimu ya juu basi niamue jambo la busara siendi kwa uncle hata iweje nmekuwa nikigoma kabisa kwenda maana naona tutatafutiana lawama tu siku za usoni.

Nawashauri vijana ukiona kama kuna jambo linakuvutia ila si sahihi likwepe mimi sitokanyaga tena kwa mjomba labda yule binti akiondoka.
weka kapicha au nipe namba yake nithibitishe haya madai yako
 
Yeye naye binadamu ana hisia

Na Ni dhaifu
Ooooow', Etieeeh'..??

Hata akimlala mwanae ni sawa, kisa ni binadamu na ana hisia na tena ni dhaifu..!

Naamini umeoa na una watoto wa kike mkuu..!
 
Uncle alifanikiwa kuoa mke mzuri akamzalia kitoto kizuri cha kike miaka ya nyuma kilikuwa kidogo tu nimekizidi miaka 20 imagine chenyewe ndio kinazaliwa.

Leo hii kimefikisha miaka 22 kimeiva, hips zimechomoka, shavu dodo, kiuno nyigu Ngozi kama imepigwa msasa laini. Yaani ni hatari nimejikuta napata majaribu mengi sana kwa kweli.

Mtoto amekua na anafaa kabisa kuliwa na yeye ananiona mimi bonge la bro...umarekani marekani mwingi sana. Namcheckii halafu nasema "Hiiiiiiiiiiiiiiiiii" bhaghosha....kwa kweli Muumba aingilie kati tu.

Basi ili nisisababishe matatizo ya kifamilia nimeamua kukata mguu kabisa kwa Mjomba maana sasa kame graduate ndio kabisa kapo home. Nikienda hivi mpaka kanasema "bro unaniangalia mpaka nashindwa tembea" basi hapo nacheka cheka tu kama fala.

Niliona sababu mimi ni mtu mzima najielewa, nina akili, busara, hekima na elimu ya juu basi niamue jambo la busara siendi kwa uncle hata iweje nmekuwa nikigoma kabisa kwenda maana naona tutatafutiana lawama tu siku za usoni.

Nawashauri vijana ukiona kama kuna jambo linakuvutia ila si sahihi likwepe mimi sitokanyaga tena kwa mjomba labda yule binti akiondoka.
Umefanya vyema kwakua Uncle nisawa na mama yako ukimla wa kwake nisawa na dada yako
 
Umekizidi miaka 20, na kenyewe sahii kako 22, nimewaza utakuwa umekula chumvi tani ngapi mpaka sahii, mwisho wa siku babu kijana kama wewe unakuja na siredi kama hii maskiiini..!😕
Mkuu wazee wa siku hizi wengi hawana aibu, ni vile tu huyu kaamua kusema yaliyo moyoni. Yani vitu wazee wenye umri wa miaka 60,70 wanavyofanya, vijana hata hawafanyi na hawana aibu. Ukitaka jua hili kaishi dodoma uone waheshimwia wanavyowachakata watoto wadogo wa vyuo vibabu kabisa yani basi tu ni vile siwezi kutaja ila wazee hawana maana kabisa.
 
Back
Top Bottom