Nimeacha rasmi kuishabikia Yanga SC

Sawa Mrs Smith
 
Nakupongeza sana kwa maamuzi mazuri na yenye faida kwako na kwa taifa.
Karibu Simba uondoe stress.Simba ni raha tu.
 
Hakuna hasara kwa yanga hata ulihama Mkuu,ni sawa Na jani moja la mwembe likianguka,hama tu kwa raha zako Mkuu,wape salaam uendako
 
Bado mtani wangu Shadeeya
Karibu chama la watu wanaojielewa tupo kiprofesional zaidi!
 
Wewe siyo Yanga bali Ni mkia
 
Jamaa kaongea facts,mlivyo wehu mnamshambulia,hapo nini la uongo alilosema?hivi hii ndo Yanga ya mabadiliko hadi wanatambulika Laliga ?
Sasa Mkuu ingekuwa hivyo kila kukiwa na kasoro mnaihama timu huko 5imba mngekuwepo kweli ambao mnaishabikia mpaka leo au nyie hamjapitia machungu ndani ya klabu yenu mbona hamkuhama?

Ushabiki huwa kwangu nauchukulia kama Imani mtu huwezi badilisha kirahisi namna hiyo haijalishi ameongea facts ama la.

Sema tu huyo ni 5imba mwenzenu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Sisi na nye ni tofauti,sisi hatuvumiliagi mda mrefu either kocha aondoka au viongozi,nye mnawavumilia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…