OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
sasa hapo wapi panaonyesha yeye Simba?ukiwa Yanga huwezi kusifia vyuma vya Simba?Kawadanyanye wapuuzi wenzako huko tangu lini ukawa Yanga wewe ?View attachment 1488992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hapo wapi panaonyesha yeye Simba?ukiwa Yanga huwezi kusifia vyuma vya Simba?Kawadanyanye wapuuzi wenzako huko tangu lini ukawa Yanga wewe ?View attachment 1488992
Kwa heshima ya huyo jamaa kwenye avatar yako acha nikae kimyasasa hapo wapi panaonyesha yeye Simba?ukiwa Yanga huwezi kusifia vyuma vya Simba?
Sawa Mrs Smithwewe ndio pumbavu la mwisho kabisa, hivi ukiwa shabiki basi ndio unakuwa kipofu? kwahiyo wewe hukubali kama hao watu wanajua?Manara mwenyewe anamsifiaga Tshishimbi, Morriso na mpaka katika kikosi chake kawaweka,ndio maana mimi nimeamua kuhama maana nyie hamjui mpira mnaendekeza ushabiki tu,mtu akifanya kizuri msifie
Bado mtani wangu ShadeeyaHabarini za mchana wakuu,
Mimi kwa ridhaa yangu bila kushawishiwa wala kushurutishwa na mtu nimeamua kufanya maamuzi sahihi nikiwa na akili timamu kuwa NIMEACHA RASMI KUSHABIKIA YANGA kutokana na sababu zifuatazo;
1. Timu haina future, kuanzia viongozi mpaka wachezaji hawajui wanataka nini, na hata mchakato wao wa mabadiliko nina uhakika 99% hautofanikiwa kutokana na uongozi uliopo kutokujitambua na kutokufahamu mapema kuwa hawa GSM ni wapigaji kama wapigaji wengine.
Suala la Morisson ni janja ya GSM kutaka kumuuza kwa watani zetu kinyemela ili wao wapige pesa bila klabu kufaidika na chochote,na hili ndilo kubwa linaniondoa YANGA,hapo tumepigwa changa la macho maana hakuna official contract kati ya yanga na Morrison,na huyu Morrison ana wanasheria wenye uelewa kuhusu mikataba ndio waliomsaidia kuvunja mikataba kote alipopitia Orlando Pirates,AS Vita n.k huku yeye akiibuka mshindi.
Lengo la Morrison halikuwa kuja kuchezea Yanga bali alikuwa anataka apate timu ambayo atakayocheza kwa kipindi kifupi ili aonekane na aweze kupata deals mbalimbali kwasababu huyu mchezaji alikuwa kijijini kwao huko Ghana kwa miezi zaidi ya minne hana timu hivyo kupata timu nzuri kwa maneno na video za utube ingekuwa ngumu sana kwake na hilo amefanikiwa kwa 100% huku akisaidiwa na wakala wake GSM,na hili lilitokea pia kwa MAKAMBO akiwa sambamba na wakala wake ZAHERA nafikiri mliona kilichotokea
Kiufupi hapo hakuna timu maana mtu yeyote anaweza leta mchezaji wake hapo ili aonekane kwa muda kisha anaondoka bila klabu kufaidika na chochote.
2.Timu inaendeshwa kihuni haina tofauti na timu za ndondo za mitaani,hapo kila mchezaji na bosi wake kuna wanaolipwa na pesa za bakuli na kuna wanaolipwa na pesa za GSM , yupo wapi Mo Banka? yupo wapi Tshishimbi? wote hawa wazima ila uongozi unatudanganya kuwa ni wagonjwa na hawataki kusema kweli kuwa wanadai stahiki zao,hata Morrison tuliambiwa mgonjwa kumbe aligoma kucheza akijua fika anajua wapi atawashika Yanga maana hana mkataba nao.
Kuna mengi sana ila nimeamua kuweka hayo mawili kwa ufupi , maana baada ya mechi ya jana kuisha nilikuwa sina raha kwanza tumekuwa watu wa kupata matokeo kwa bahatibahati tu,na mtu akisema kuwa tunabebwa pia ni haki yake,maana mechi mbili mfululizo tunapata point 1 kwa kupora na haikuwa haki yetu
Mechi ya Azam kiuhalisia ilitakiwa tufungwe na Mechi ya jana dhidi ya Namungo pia ilitakiwa pia tufungwe,mechi zote hizo tunashukuru marefa ,maana kama jana mpira ulikuwa ushaisha na dakika 5 za kuongeza pia ziliisha ila ni kama vile mwamuzi alikuwa anasubiri tusawazishe ili yeye amalize mpira na ninaamini tusingepata goli la puili katika dakika ile refa angechezesha mechi mpaka leo,na hii imekuwa sababu ya kupachikwa majina ya kero kila uchwao, na majina hayo yanaumiza kwelikweli.
Rasmi sasa nimeamua kuwa mshabiki wa SIMBA SC ili niepukane na kero zinazonikabili mawazo,hasira n.k
Wewe siyo Yanga bali Ni mkiaHabarini za mchana wakuu,

Hahahahaaa. Nakazia Mkuu.Nenda salama.
Sasa Mkuu ingekuwa hivyo kila kukiwa na kasoro mnaihama timu huko 5imba mngekuwepo kweli ambao mnaishabikia mpaka leo au nyie hamjapitia machungu ndani ya klabu yenu mbona hamkuhama?Jamaa kaongea facts,mlivyo wehu mnamshambulia,hapo nini la uongo alilosema?hivi hii ndo Yanga ya mabadiliko hadi wanatambulika Laliga ?
Mtani ngoja nicheke kwanza. 😀😀😀😀Kwa id yako ya kisukuma wala sishangai
😂😂😂😂Kawadanyanye wapuuzi wenzako huko tangu lini ukawa Yanga wewe ?View attachment 1488992
We unaweza?sasa hapo wapi panaonyesha yeye Simba?ukiwa Yanga huwezi kusifia vyuma vya Simba?
Sasa Mkuu ingekuwa hivyo kila kukiwa na kasoro mnaihama timu huko 5imba mngekuwepo kweli ambao mnaishabikia mpaka leo au nyie hamjapitia machungu ndani ya klabu yenu mbona hamkuhama?
Ushabiki huwa kwangu nauchukulia kama Imani mtu huwezi badilisha kirahisi namna hiyo haijalishi ameongea facts ama la.
Sema tu huyo ni 5imba mwenzenu. [emoji23][emoji23][emoji23]
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Hivyo kwa kuwa tumewavumilia sana suluhu ni kuhama?Sisi na nye ni tofauti,sisi hatuvumiliagi mda mrefu either kocha aondoka au viongozi,nye mnawavumilia sana
Hivyo kwa kuwa tumewavulia sana suluhu ni kuhama?
Haya Mkuu. Asiyeweza kuishi kwa sitiresi huyo hapo mkaribisheni 5imba.Kwanini uishi na stress wakati unaweza kuikimbia