Nimeacha rasmi kuishabikia Yanga SC

Haya Mkuu. Asiyeweza kuishi kwa sitiresi huyo hapo mkaribisheni 5imba.
kwakweli mimi siwezi kabisa kuishi kwa stress na ndio maana huwaga nawapongeza sana mashabiki wa Arsenal na Yanga, hivi ukiwa mtu unashabikia timu hizi mbili kwa pamoja una hali gani?
 
Hivyo kwa kuwa tumewavumilia sana suluhu ni kuhama?
Kuhamia Msimbazi ndo suluhu ya kudumu ya changamoto za magonjwa ya moyo na pressure zinazowakabili mara kwa mara wana Yanga zinazosababishwa na ukimeo wa Klabu yenu. Huu ni wakati muafaka sasa wa kuunga mkono juhudi za Simba Spoti

1. Ubingwa mechi sita zikiwa mkononi
2. Uwekezaji wenye tija
3. Kufanikisha ujenzi wa uwanja wenye pichi kali
4. Kuwa na kikosi kipana cha ushindani
5. Mishahara minono na inyolipwa kwa wakati
6. Uendeshaji wa klabu kitaalamu
7. Uhakika wa kufika mbali kwenye CCL

Karibu Shadeeya hata kama hutaki tukupokee kwa matarumbeta tutakupa kadi kimyakimya usijali, najua upo na wenzako kibaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti ingelichezwaa mpka unapandisha huu Uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…