DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwakweli mimi siwezi kabisa kuishi kwa stress na ndio maana huwaga nawapongeza sana mashabiki wa Arsenal na Yanga, hivi ukiwa mtu unashabikia timu hizi mbili kwa pamoja una hali gani?Haya Mkuu. Asiyeweza kuishi kwa sitiresi huyo hapo mkaribisheni 5imba.
Naona ngozi yako umeanza kuidhihirisha kwenye hii kauli. Lolkwakweli mimi siwezi kabisa kuishi kwa stress na ndio maana huwaga nawapongeza sana mashabiki wa Arsenal na Yanga, hivi ukiwa mtu unashabikia timu hizi mbili kwa pamoja una hali gani?
Ndio umeamua kumjibia OKW BOBAN SUNZU ? 😂😂😂😂tatizo unafki ndio mbaya kwa kawaida mtu akifanya kizuri msifie, kwahiyo Manara alipomsifia Morrison na yeye alikuwa Yanga?
Kuhamia Msimbazi ndo suluhu ya kudumu ya changamoto za magonjwa ya moyo na pressure zinazowakabili mara kwa mara wana Yanga zinazosababishwa na ukimeo wa Klabu yenu. Huu ni wakati muafaka sasa wa kuunga mkono juhudi za Simba SpotiHivyo kwa kuwa tumewavumilia sana suluhu ni kuhama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ningechelewa kidogo tu ningekuwa sokwe mimi jamani
🤔🤔🤔 Kwani unapoitwa hivyo kuna kitu unabadilika?Sasa umeamini k maana ya maneno yangu, nilijua kuna siku ningeitwa mbwa, sokwe, nyani, mpuuzi....
Asingekuwa anabadirika msingehamaki mlivyoitwa nyani mbona kila siku tunawaita vyura hamchukii🤔🤔🤔 Kwani unapoitwa hivyo kuna kitu unabadilika?