Nani kahamaki?Asingekuwa anabadirika msingehamaki mlivyoitwa nyani mbona kila siku tunawaita vyura hamchukii
Hahahaaaa. Umefanya nimecheka ulichokiandika.Dah... Sasa mbona kama haibadilishi kitu mmemtimua kocha wenu? Na vilio kama vyote
Hahahaaaa. Umefanya nimecheka ulichokiandika.
Pambana na simba yako Mkuu. Ya Yanga tuachie Yanga.
Na Ukishajiona unaishabikia Racism katika hii dunia ya sasa basi ujue we una matatizo na labda nikueleweshe kilicholeta shida ni lile neno Monkey na si zile takataka zingine ambazo kwangu kwa 100% hazinibadilishi.
#Tuacheniushabikimandazi.
Niaje Mtani, Uko Mzima?Hello[emoji16]
Ndiyo maana Lipumba alirudi tena CUF kwasababu ya akili za watu kama weweHabarini za mchana wakuu,
Mimi kwa ridhaa yangu bila kushawishiwa wala kushurutishwa na mtu nimeamua kufanya maamuzi sahihi nikiwa na akili timamu kuwa NIMEACHA RASMI KUSHABIKIA YANGA kutokana na sababu zifuatazo;
1. Timu haina future, kuanzia viongozi mpaka wachezaji hawajui wanataka nini, na hata mchakato wao wa mabadiliko nina uhakika 99% hautofanikiwa kutokana na uongozi uliopo kutokujitambua na kutokufahamu mapema kuwa hawa GSM ni wapigaji kama wapigaji wengine.
Suala la Morisson ni janja ya GSM kutaka kumuuza kwa watani zetu kinyemela ili wao wapige pesa bila klabu kufaidika na chochote,na hili ndilo kubwa linaniondoa YANGA,hapo tumepigwa changa la macho maana hakuna official contract kati ya yanga na Morrison,na huyu Morrison ana wanasheria wenye uelewa kuhusu mikataba ndio waliomsaidia kuvunja mikataba kote alipopitia Orlando Pirates,AS Vita n.k huku yeye akiibuka mshindi.
Lengo la Morrison halikuwa kuja kuchezea Yanga bali alikuwa anataka apate timu ambayo atakayocheza kwa kipindi kifupi ili aonekane na aweze kupata deals mbalimbali kwasababu huyu mchezaji alikuwa kijijini kwao huko Ghana kwa miezi zaidi ya minne hana timu hivyo kupata timu nzuri kwa maneno na video za utube ingekuwa ngumu sana kwake na hilo amefanikiwa kwa 100% huku akisaidiwa na wakala wake GSM,na hili lilitokea pia kwa MAKAMBO akiwa sambamba na wakala wake ZAHERA nafikiri mliona kilichotokea
Kiufupi hapo hakuna timu maana mtu yeyote anaweza leta mchezaji wake hapo ili aonekane kwa muda kisha anaondoka bila klabu kufaidika na chochote.
2.Timu inaendeshwa kihuni haina tofauti na timu za ndondo za mitaani,hapo kila mchezaji na bosi wake kuna wanaolipwa na pesa za bakuli na kuna wanaolipwa na pesa za GSM , yupo wapi Mo Banka? yupo wapi Tshishimbi? wote hawa wazima ila uongozi unatudanganya kuwa ni wagonjwa na hawataki kusema kweli kuwa wanadai stahiki zao,hata Morrison tuliambiwa mgonjwa kumbe aligoma kucheza akijua fika anajua wapi atawashika Yanga maana hana mkataba nao.
Kuna mengi sana ila nimeamua kuweka hayo mawili kwa ufupi , maana baada ya mechi ya jana kuisha nilikuwa sina raha kwanza tumekuwa watu wa kupata matokeo kwa bahatibahati tu,na mtu akisema kuwa tunabebwa pia ni haki yake,maana mechi mbili mfululizo tunapata point 1 kwa kupora na haikuwa haki yetu
Mechi ya Azam kiuhalisia ilitakiwa tufungwe na Mechi ya jana dhidi ya Namungo pia ilitakiwa pia tufungwe,mechi zote hizo tunashukuru marefa ,maana kama jana mpira ulikuwa ushaisha na dakika 5 za kuongeza pia ziliisha ila ni kama vile mwamuzi alikuwa anasubiri tusawazishe ili yeye amalize mpira na ninaamini tusingepata goli la puili katika dakika ile refa angechezesha mechi mpaka leo,na hii imekuwa sababu ya kupachikwa majina ya kero kila uchwao, na majina hayo yanaumiza kwelikweli.
Rasmi sasa nimeamua kuwa mshabiki wa SIMBA SC ili niepukane na kero zinazonikabili mawazo,hasira n.k
Sikumbuki kama Lipumba alishawahi kuhama CUF.Ndiyo maana Lipumba alirudi tena CUF kwasababu ya akili za watu kama wewe
Punguza kulalamika/kutoridhika.View attachment 1520904View attachment 1520905Habarini za mchana wakuu,

Kajipeleka mwenyewe. ๐๐๐Naona kwa sasa huko uliko unakipata ulichokuwa unakitafuta.
Ahame tena sasa.Kajipeleka mwenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23]