Nimeacha rasmi kuishabikia Yanga SC

Nimeacha rasmi kuishabikia Yanga SC

Karibu Chama kubwa la Msimbazi, ni mwendo wa raha tu! Hata hivyo wana Yanga muyafanyie kazi haya mapungufu aliyoyabainisha mkuu ni ya kweli kabisa! Tatizo kubwa la Yanga wana mashabiki wengi kwenye media hivyo utakuta kajambo kadogo tu, magazeti ya michezo yanapamba na kukuza kwa sauti kubwa sana lakini mkija kwenye uwajibikaji unakuta ziro! Kasumba hii imewajenga viongozi na wanachama wengi wa Yanga kuwa watu wa maneno meeengi kuliko matendo! Suala la timu kutokuwa na future shida ni uongozi umeshindwa uache lipi, ushike lipi! Wanajaribu kuwa wa matukio kwamba wakisikia Simba tumefanya hiki ndio utasikia nao wakichimba mkwara lakini mbaya zaidi kubakia katika maneno tu huku wenzao Simba tukienda na utekelezaji! Kwa mtindo huo Yanga itasubiri sana mabadiliko ya kweli!
 
Pale shabiki wa simba anapokuwa msemaji wa yanga...

mtoa mada mbona hujatukumbusha post yako ya kujiunga yanga??
 
Dah... Sasa mbona kama haibadilishi kitu mmemtimua kocha wenu? Na vilio kama vyote
Hahahaaaa. Umefanya nimecheka ulichokiandika.

Pambana na simba yako Mkuu. Ya Yanga tuachie Yanga.

Na Ukishajiona unaishabikia Racism katika hii dunia ya sasa basi ujue we una matatizo na labda nikueleweshe kilicholeta shida ni lile neno Monkey na si zile takataka zingine alizoongea ambazo kwangu kwa 100% hazinibadilishi.

#Tuacheniushabikimandazi.
 
Hahahaaaa. Umefanya nimecheka ulichokiandika.

Pambana na simba yako Mkuu. Ya Yanga tuachie Yanga.

Na Ukishajiona unaishabikia Racism katika hii dunia ya sasa basi ujue we una matatizo na labda nikueleweshe kilicholeta shida ni lile neno Monkey na si zile takataka zingine ambazo kwangu kwa 100% hazinibadilishi.

#Tuacheniushabikimandazi.

Hello[emoji16]
 
Habarini za mchana wakuu,

Mimi kwa ridhaa yangu bila kushawishiwa wala kushurutishwa na mtu nimeamua kufanya maamuzi sahihi nikiwa na akili timamu kuwa NIMEACHA RASMI KUSHABIKIA YANGA kutokana na sababu zifuatazo;

1. Timu haina future, kuanzia viongozi mpaka wachezaji hawajui wanataka nini, na hata mchakato wao wa mabadiliko nina uhakika 99% hautofanikiwa kutokana na uongozi uliopo kutokujitambua na kutokufahamu mapema kuwa hawa GSM ni wapigaji kama wapigaji wengine.

Suala la Morisson ni janja ya GSM kutaka kumuuza kwa watani zetu kinyemela ili wao wapige pesa bila klabu kufaidika na chochote,na hili ndilo kubwa linaniondoa YANGA,hapo tumepigwa changa la macho maana hakuna official contract kati ya yanga na Morrison,na huyu Morrison ana wanasheria wenye uelewa kuhusu mikataba ndio waliomsaidia kuvunja mikataba kote alipopitia Orlando Pirates,AS Vita n.k huku yeye akiibuka mshindi.

Lengo la Morrison halikuwa kuja kuchezea Yanga bali alikuwa anataka apate timu ambayo atakayocheza kwa kipindi kifupi ili aonekane na aweze kupata deals mbalimbali kwasababu huyu mchezaji alikuwa kijijini kwao huko Ghana kwa miezi zaidi ya minne hana timu hivyo kupata timu nzuri kwa maneno na video za utube ingekuwa ngumu sana kwake na hilo amefanikiwa kwa 100% huku akisaidiwa na wakala wake GSM,na hili lilitokea pia kwa MAKAMBO akiwa sambamba na wakala wake ZAHERA nafikiri mliona kilichotokea

Kiufupi hapo hakuna timu maana mtu yeyote anaweza leta mchezaji wake hapo ili aonekane kwa muda kisha anaondoka bila klabu kufaidika na chochote.

2.Timu inaendeshwa kihuni haina tofauti na timu za ndondo za mitaani,hapo kila mchezaji na bosi wake kuna wanaolipwa na pesa za bakuli na kuna wanaolipwa na pesa za GSM , yupo wapi Mo Banka? yupo wapi Tshishimbi? wote hawa wazima ila uongozi unatudanganya kuwa ni wagonjwa na hawataki kusema kweli kuwa wanadai stahiki zao,hata Morrison tuliambiwa mgonjwa kumbe aligoma kucheza akijua fika anajua wapi atawashika Yanga maana hana mkataba nao.

Kuna mengi sana ila nimeamua kuweka hayo mawili kwa ufupi , maana baada ya mechi ya jana kuisha nilikuwa sina raha kwanza tumekuwa watu wa kupata matokeo kwa bahatibahati tu,na mtu akisema kuwa tunabebwa pia ni haki yake,maana mechi mbili mfululizo tunapata point 1 kwa kupora na haikuwa haki yetu

Mechi ya Azam kiuhalisia ilitakiwa tufungwe na Mechi ya jana dhidi ya Namungo pia ilitakiwa pia tufungwe,mechi zote hizo tunashukuru marefa ,maana kama jana mpira ulikuwa ushaisha na dakika 5 za kuongeza pia ziliisha ila ni kama vile mwamuzi alikuwa anasubiri tusawazishe ili yeye amalize mpira na ninaamini tusingepata goli la puili katika dakika ile refa angechezesha mechi mpaka leo,na hii imekuwa sababu ya kupachikwa majina ya kero kila uchwao, na majina hayo yanaumiza kwelikweli.

Rasmi sasa nimeamua kuwa mshabiki wa SIMBA SC ili niepukane na kero zinazonikabili mawazo,hasira n.k
Ndiyo maana Lipumba alirudi tena CUF kwasababu ya akili za watu kama wewe
 
Punguza kulalamika/kutoridhika.View attachment 1520904View attachment 1520905
Screenshot_20200729-223129.jpg

View attachment 1520908View attachment 1520907
 
doleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Attachments

  • 2480289_IMG-20200808-WA0027.jpg
    2480289_IMG-20200808-WA0027.jpg
    59.5 KB · Views: 1
  • 2480291_IMG-20200808-WA0026.jpg
    2480291_IMG-20200808-WA0026.jpg
    63.4 KB · Views: 1
mkiambiwa gsm ni wapigaji muelewe yaani mupo kama mazezeta,ndio maana mkaitwa manyani na mambwa
 
Back
Top Bottom