Nimeacha rasmi kushabikia Manchester United

Mimi siyo shabiki wa Man U ila sikuwahi kusikia chakula kikikosekana home unahama familia.
Pole kwa kutaka kuwa na afya siku zote bila kuugua ila kumbuka kuugua ni kipindi cha mpito tu mkuu.
 
Asante sana Ngudu kwa kuacha kushabia MUFC.......karibu huku chamanii.

Inaonekana uko frustrated kama mtu fudenge mpaka ndugu unaita ngudu....
 
Una moyo mwepesi sana mkuu, wengine tuko na Wenger toka invicibles mpaka sasa europa.
 
Nani anaongoza kubeba mataji ya EPL mkuu,,, tuanzie hapo!!!
Any way kila la kheri uendako,,, ila sidhani kama uzi upo serious huu.... I guess n mamluki wa kuichafua timu,,,
Hayo ni marekodi 2 kama ni hivyo liverpool kawazidi
 
Yaani ulipoanza tu "ngudu wanajamii forum".... Nikajua tu huyu ni mporipori wa NGUDU Kwimba.. Vipi unatokea Chasalawe , izizimba, mwamitinje, shilembo, MWABAYANDA, mwabuchuma, kiliwi, mwansweghele, mwaginghi, ndami au Mwanekeyi...... Wawapi mhalo, nyamatala, icheja, nyamigamba au ngogo au labda MWABOMBA.... Maana ndio wanaweza kuongea shombo la hivi afu
 
Weeee Jamaaaa hujielewii Huyo Madrid kama reference yako umepoteaaa kabisaa
 
Jamaaa anamuacha mke wake kwa kuzidisha chumvi kwenye Mboga siku moja hujui soccer
 
Hiki ndio kitu siwaelewe mashabiki wa bongo yaani shabiki kama hapa kwetu wa yanga eti anahamia simba. Unajua chuki iliyopo kati ya timu mbili za Manchester .mimi sio shabiki wa timu za Manchester lakini inaelekea mashabiki wa mpira wa timu za ulaya hatujui historia ya timu zetu .mfano shabiki wa arsenal hawezi hamia spurs au Chelsea kwani kihistoria ndio mahasimu wakubwa wa arsenal wakifuatiwa na man u na Liverpool.
 

Ww ulikua mancity sema united ulimfuataga ronaldo...nakukumbusha kidogo hao mancity hawana uefa hawana uropa ligikuu maranne!! Hawa man u ligi mara 20 uefa mara 3 na fa mara 12 internatonal trophlmara 8 FA13 i love united never separeted on me ww pambna na mAncity wako utawakataa so muda!!
 
hivi game ya jana umecheki jinsi tuliwanyanyasa watu kwa network yetu ya 4g
 
sasa we unaona bora vipi, ukose makombe kabisa uwe coke zero au uchukue angalau ya mapinduzi?

na kama makombe ni hela basi Man u ndio timu bora ulimwenguni kwa sasa, sababu wana hela kushinda timu zote.
Uisahau pia ndio timu yenye madeni makubwa kuliko timu zote

Top 10 clubs by debt

1. Manchester United - €536m

2. Benfica - €336m

3. Inter - €306m

4. Valencia - €285m

5. QPR - €279m

6. AC Milan - €249m

7. CSKA Moscow - €224m

8. Galatasaray - €222m

9. Juventus - €209m

10. Roma - €208m
 
yaani unafananisha watu na mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…