Nimeacha rasmi kuwa shabiki wa mpira wa miguu na hizi ndizo sababu zangu

Nimeacha rasmi kuwa shabiki wa mpira wa miguu na hizi ndizo sababu zangu

Umeathirika kisaikolojia, nakushauri kwa timu hiyo ambayo unashabikia una kila sababu ya kuiona chawi.

Ama club tafuta club nzuri itakayokua inakupa furaha uwanjani
Mimi niathirike kisaikolojia kisa mpira wa miguu? Nitake radhi tafadhali
 
Kwani nani ulimuona akimtaja taja kagere kwamba ndio mchezaji tegemezi kama ambavyo nyinyi mlivyokua mnampa promo huyo pimbi?

Tulichoka na kelele zenu, saizi mmesanda msha loose hope mnajidai eti mnasusa mpira
Angalia kuna uzi humu upo umeandikwa Mayele ana cha kujifunza kutoka kwa kagere. Kuna uzi mwingine tena upo humu baada ya kagere kutupia goli mbili na kumzidi Mayele ukafunguliwa uzi wa kumlinganisha kagere na Mayele na washabiki wote wa Simba walimpa sifa Kagere. Sasa unapo m snitch Mayele wa Yanga basi msisahau kum snitch na role model wa Mayele ambaye ni Kagere
 
Ungekuwa unauchukia umasikini kama unavyo ichukia Yanga ungekuwa Bakhresa.
Yanga huwezi kuitenganisha na umasikini

Mwaka juzi wametembeza bakuli hii tunaita umaskini wa pesa

Hersi aliwaongopea mashabiki kwamba wasipochukua kombe aulizwe, kombe likaenda msimbazi na hakuna aliyemfata kumuuliza. Huu ni umasikini wa fikra

Uongozi wa yanga uliwaaminisha mashabiki kwamba morisson ni mchezaji halali mpaka kutajwa kwenye list ya kikosi cha msimu siku ya mwananchi na mashabiki wakaaini. Huu ni umasikini wa fikra pro max

Yanga iliwadanganya mashabiki zake kwamba washafanya makubaliano ya kumsajili chama na pesa ishatumwa kilichobaki ni wao tu kufanya press, na kama kawaida mapeta yaka amini. Huu ni ujinga uliotokana na umasikini wa mawazo
 
Angalia kuna uzi humu upo umeandikwa Mayele ana cha kujifunza kutoka kwa kagere. Kuna uzi mwingine tena upo humu baada ya kagere kutupia goli mbili na kumzidi Mayele ukafunguliwa uzi wa kumlinganisha kagere na Mayele na washabiki wote wa Simba walimpa sifa Kagere. Sasa unapo m snitch Mayele wa Yanga basi msisahau kum snitch na role model wa Mayele ambaye ni Kagere
Swala la nyuzi za kagere ni tofauti sana na namna ambavyo mayele alikua anajadiliwa

Kagere alikua anajadiliwa kwa perfomance yake kwa mechi zote in general, ila mayele ilikua tofauti alikua anajadiliwa kama ni mchezaji star na tegemezi mwenye uhakika wa kufunga kwenye mechi ya derby

Na ndio kila mechi ambayo simba alikua akicheza na udhaifu wa mabeki unapoonekana tulikua tunawaona mkisema "kwa mabeki hawa sioni wa kumzuia mayele tarehe 11"

Yani nimechi ambayo yanga ilikua imepania sana na ilijenga confidence kwa mchezaji mmoja tu ambaye ni mayele, namimi nilikua nawachana kwamba mayele huyu mtampotea hiyo tarehe 11 kwasababu sifa anazopewa ni kubwa kuliko uwezo na yeye amelewa sifa
 
Kuanzia sasa jitoe kwnye kundi la sisi wanaume wenzako kakae na kina dada msutane *****
 
Hiyo akili hana. Huyo ni bonge la Fwafwa achana naye.
Kitambo mi najua kwamba maneno sio mkuki, ila mpo mnao yaunda mpaka yanakua bunduki.../

Wakiwasikiliza wamebugi, vichinjio mlivyopewa na GSM havikati ni dugi.../
 
Kuanzia sasa jitoe kwnye kundi la sisi wanaume wenzako kakae na kina dada msutane *****
Siku hizi hata wadada wanacheza mpira Na ndio wanaongoza Kwa ushabiki WA mpira. Ushabiki WA mpira wa siku hizi sio kama WA miaka ya tisini Enzi za Boli Na ngumi..
 
IMG_0714.png
 
Swala la nyuzi za kagere ni tofauti sana na namna ambavyo mayele alikua anajadiliwa

Kagere alikua anajadiliwa kwa perfomance yake kwa mechi zote in general, ila mayele ilikua tofauti alikua anajadiliwa kama ni mchezaji star na tegemezi mwenye uhakika wa kufunga kwenye mechi ya derby

Na ndio kila mechi ambayo simba alikua akicheza na udhaifu wa mabeki unapoonekana tulikua tunawaona mkisema "kwa mabeki hawa sioni wa kumzuia mayele tarehe 11"

Yani nimechi ambayo yanga ilikua imepania sana na ilijenga confidence kwa mchezaji mmoja tu ambaye ni mayele, namimi nilikua nawachana kwamba mayele huyu mtampotea hiyo tarehe 11 kwasababu sifa anazopewa ni kubwa kuliko uwezo na yeye amelewa sifa
Ndio maana nakuuliza huyo Kagere ambaye ndio mnayemuona ana perform vizuri leo kafanya nini kumzidi Mayele?

Kacheza derby ngapi mpaka awe na uhakika wa kufunga derby?
 
Kitu ambacho nilisha shindwa ni kushabikia hizi timu ya njano na nyekundu ata nashukuru nilichukua maamuzi sahihi
 
We jamaa unazingua kila saa mayele mayele
Nikwasababu nyinyi ndo mnamuona nyota sana pale jangwani kwasababu tu alitufunga ile mechi ya mapinduzi, hii imepelekea hata kuwashushia molale wachezaji wengine wa hapo yanga kwa kuona thamani yao ni ndogo sana kwasababu hawajaifunga simba

Tangu ligi inaanza kauli ya wana yanga wengi ni "ngoja tarehe 11 mayele awatie kamba tena" yani hawamtaji feisal, hawamtaji moloko, hawamtaji ntibayonkiza, yani wao mchezaji wanayemuona ni mayele tu

Na hii mimi nilianza kuiona mapema sana kugundua kwamba mayele ni mtu fulani mwenye kupenda sifa kwenye mechi ile waliocheza na mbeya kwanza

Mayele alikua ana hamasisha mashabiki wamshangilie katika moment amabyo hajafunga goli wala assist eti kwakua kasababisha wapate kona
 
Ndio maana nakuuliza huyo Kagere ambaye ndio mnayemuona ana perform vizuri leo kafanya nini kumzidi Mayele?

Kacheza derby ngapi mpaka awe na uhakika wa kufunga derby?
Nani ulimsikia akimpa promo kagere kwamba ndio mchezaji tegemezi kwenye mechi hii ya derby kiasi cha yeye kutajwa sana kama mayele?

Hata msemaji wenu naye ana spirit ya kishamba kama mashabiki, mara kadhaa amekuwa akimpost maayele tu kana kwamba ndio mchezajitishio sana kuliko wengine
 
1. Ushabiki wa mpira ni Aina Fulani hivi ya uwendawazimu, inahitaji akili ya mwendawazimu kuwa shabiki wa mpira wa miguu. Kwa mfano : Mashabiki wa timu kuomba mpira uishe pindi timu Yao inapokuwa inaongoza . Kwanini unataka mechi iishe haraka wakati wewe umeenda kuangalia mpira?

2. Tofauti Kati ya roho ya uchawi na mindset ya shabiki WA mpira wa MIGUU Ni sifuri. Ukitaka kujua wachawi huwa Wana waza Nini kuhusu wewe , wewe jitazame unawaza Nini kuhusu timu yako pinzani.. HII roho ya uchawi miongoni mwa shabiki WA mpira wa MIGUU inafanya mpira usiwe mchezo WA furaha. Kwa mfano shabiki WA Yanga kuchukia Simba kufika robo fainali au shabiki WA Simba kufurahia Yanga kutolewa makundi. I don't want to share my energy with these kind of people.

3. Mashabiki wa mpira kutokuubali ukweli Kwa Sababu ya roho ya KICHAWI inayo fanya Kazi ndani yao. Kwa mfano shabiki WA Yanga anaweza kusema Huyu Mikson au Chama Ni bonge la garasa au kumsikia shabiki WA Simba akisema " Aucho nae mchezaji? Ukitumwa mchezaji unaweza kumpeleka Aucho Kweli? I am not feeling comfortable to stay around people who think this way.

Hivi ndivyo wachawi wanavyo kataaga Kwa maneno mafanikio ya watu wengine... Mwaka 97 Kuna ndugu yangu Fulani alipata nafasi ya kwenda kusoma Scotland mtaani ikawa inasemwa anaenda kusoma Uingereza basi mchawi mmoja WA mtaani akawa anasema " Nyie Uingereza mnapajua au mnapasikia? Huyu mwanafudenge kaenda kusoma Scotland, Scotland sio Uingereza, unafanya mchezo Na Uingereza wewe..

One year later jamaa akamtumia mama Ake picha zake akiwa Scotland, Bahati mbaya picha zikavuja wachawi wakazipata, sikia maneno Yao " Huyu sio xxx ninae mjua Mimi, huyu WA kwenye picha mbona mwarabu kabisa".

Siku zote mindset ya mchawi huwa Ni kuwa around Na watu ambao Wana fit kwenye category ya partners in sufferance. Kwa Bahati mbaya Sana hivi ndivyo ilivyo akili ya shabiki WA mpira wa MIGUU.

Itaendelea
wanaoacha kushabikia mpira huwa hawaagi.
 
utaniambia nini mbele ya Simba?.
Nimeanza kuipenda Simba kipindi Cha madaraka seleman.
Mpaka Leo nadhani Mungu akipenda nitakuwa Kama mzee AKILI Mali na yanga yake
 
Yanga huwezi kuitenganisha na umasikini

Mwaka juzi wametembeza bakuli hii tunaita umaskini wa pesa

Hersi aliwaongopea mashabiki kwamba wasipochukua kombe aulizwe, kombe likaenda msimbazi na hakuna aliyemfata kumuuliza. Huu ni umasikini wa fikra

Uongozi wa yanga uliwaaminisha mashabiki kwamba morisson ni mchezaji halali mpaka kutajwa kwenye list ya kikosi cha msimu siku ya mwananchi na mashabiki wakaaini. Huu ni umasikini wa fikra pro max

Yanga iliwadanganya mashabiki zake kwamba washafanya makubaliano ya kumsajili chama na pesa ishatumwa kilichobaki ni wao tu kufanya press, na kama kawaida mapeta yaka amini. Huu ni ujinga uliotokana na umasikini wa mawazo
Dogo pumba unazo bwatukaga hapa JF hua najaribu kukujengea picha kwenye real life dah! acha niishie hapo
 
Dogo pumba unazo bwatukaga hapa JF hua najaribu kukujengea picha kwenye real life dah! acha niishie hapo
Upo kwenye hilo kundi la hao masikini wa fikra na kila unachokiandika hapa unazidi kuthibitisha kua ni kweli sijakosea kuwaita hivyo
 
Mashabiki wa mpira unaowasema ni wabongo. Sidhani kama uko duniani huwa hawana akili kama hawa ndugu zetu mashabiki wa Simba na Yanga.

Bongo mashabiki lialia wa mpira wengi wana upungufu wa akili (samahani kwa kusema ukweli). Ndio maana kina Salah, ambaye nimemuona mara nyingi ofisini kwake na kina Soloka na wengine top wa GSM Group of Companies ambao ndio wanaweka hela zao hawafatilii mpira kivile wala hawana pressure nao, Mo na watu wake sijui maana sijawahi kuwa karibu nae. Njaa kali ambao hawana majukumu na mambo mazito ndio wanatilia sana mkazo mpira. Wewe uliwahi ona Roman Abrahmovich anaonesha hata dalili za kusikitika Chelsea ikifungwa? Wamiliki kibao wa klabu hata viwanjani hawajawahi kanyaga.

Ukitaka kujua fatilia michango ya wadau humu kwenye mpira. Ukikutana na Scars kwenye mada za mpira unadhani ni kilaza. Ukimkuta mada nyingine unaona kabisa huyu mtu akili anazo. Ndio maana fake news nyingi ni za mpira kama ile barua ya wachoma vitumbua ya jana ambayo kuna watu na akili zao waliamini imetoka CAF na English yake ya kuchomelea.
 
Back
Top Bottom