Nimeachana na mpenzi wangu

Apo umekimbia Kivuli chako mkuu!!! Utarudi tu kama kuna damu yako na utaumia zaidi utakapo gundua ananyanduliwa na mtu mwengine na hili hali ana kiumbe chako!!!!!! Hivi mnawezaje kuwapa mimba michepuko???? Hii kwangu haiwezi kutokea maisha yangu mpaka nife, nazaa na mke wangu Tu. Marufuku mchepuko kubeba mimba yangu sitaaki mizozo
 
Wengine wanataka mbegu tu; kuna michepuko mitano kila mmoja ana eqnx junior
 
Viwango vyako viko chini sana ukilinganisha na vyangu.
Unachotaka kusema ni sawa ukamfundishe mzee mwenye miaka 95 aliyekulia pale kijijini, maisha yake yote anatumia pombe ya kienyeji, leo hii wewe kijana wa leo hujafikisha ata 70 umuambie hiyo pombe ni chafu ina madhara kwake; atakuambia hiyo elimu ya makaratasi haijakusaidia kitu
 
Mpaka sasa hujaelewa kuwa hoja yangu wala si kumfundisha mtu mzima maisha yake asinywe pombe akiwa mjamzito.

Bali, ni wewe kushiriki kunywa pombe na mjamzito.

Yani ni hivi, huwezi kumlazimisha mtu mzima asiwe mwizi akiamua kuwa mwizi.

Lakini, ukienda naye kuiba, ukampa bastola, ukampa support kuonesha kuwa wizi ni kitu cha kawaida tu, hapo umefanya kosa la kuwa accomplice katika wizi huo.
 
kwahiyo gentleman,
unategemea akujibu nini kwenye huo ujumbe kwa mfano?🀣

staki na taka ni mzigo mzito sana moyoni pa wengi aise πŸ’
 
Visilani vya mimba hivyo ni kawaida, wewe umepaniki, Hamisha na mimba pia ije kwako ili uwe huru zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…