Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #61
Nilishapoa hapa naangaza kupata pisi kali zaidi yakePole Mkuu ๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishapoa hapa naangaza kupata pisi kali zaidi yakePole Mkuu ๐๐๐๐
Ndiyo. Lakini umeenda naye kunywa pombe, ukijua kuwa ni mjamzito?Ni mtu mzima na anakunywa sana
Nimeileta huku kama sehemu ya burudani, ili watu kama nyie mburudikeIla inavoonekana umeumia Sana alivokunyamazia mpaka ukalileta huku
Na huo ndio ukweliHuo ndiyo uanaume sasa huoni umekuwa huru, kata mti panda mti wako wengi sana hawa.
Mtu wa miaka 40, utampangia kitu?Ndiyo. Lakini umeenda naye kunywa pombe, ukijua kuwa ni mjamzito?
Apo umekimbia Kivuli chako mkuu!!! Utarudi tu kama kuna damu yako na utaumia zaidi utakapo gundua ananyanduliwa na mtu mwengine na hili hali ana kiumbe chako!!!!!! Hivi mnawezaje kuwapa mimba michepuko???? Hii kwangu haiwezi kutokea maisha yangu mpaka nife, nazaa na mke wangu Tu. Marufuku mchepuko kubeba mimba yangu sitaaki mizozoHuyu rafiki yangu (mchepuko) ana ujauzito wa miezi miwili; baada ya kumuona jana jioni hana mishe, nikaamua kumpigia simu ili nimtoe 'out' angalau tukapige kitimoto na maji ya dhahabu.
Tukakubaliana tukutane kiwanja fulani; baada ya kufika tukapiga kilo mbili za kitimoto pamoja na vinywaji, bahati nzuri sisi wote ni wanywaji.
Baada ya kupiga maji sana, tukawa tunajiandaa tuondoke, ile nataka kusimama tu, bi mkubwa (wife) akanipigia simu, tukabadilishana abc na kumuambia kesho nitakutumia kiasi fulani cha salio.
Ile mchepuko kusikia naongea na bi mkubwa kuhusu mikakati, akajawa na wivu na kuanza kulalamika na kusema, ''anayependwa hapa ni mtu mmoja tu''. Nikamuuliza kwa nini unasema hivyo, hakunijibu,matokeo yake akawa ananipa pochi yake nibebe. Nikamwambia mimi ni mwanaume siwezi kubeba pochi/mkoba wako.
Alikuwa ameshikilia chupa ya maji akatupa kule, tukavutana mpaka tukafika nyumbani; ile tumelala kitandani hataki kuguswa, akaamka kwa hasira usiku huo na kusema hatonitafuta tena na anaenda kwake; ikabidi nimwambie sawa hakuna shida.
Baada ya kuondoka usiku huo, nikamtumia ujumbe na kumwambia; mimi niko huru sasa kuwa na mtu mwingine,nawe pia kuwa huru kuwa na mwanaume mwingine.
Mpaka sasa hajajibu huo ujumbe; na sitegemei kumbembeleza arudi kwenye mahusiano.
Wengine wanataka mbegu tu; kuna michepuko mitano kila mmoja ana eqnx juniorApo umekimbia Kivuli chako mkuu!!! Utarudi tu kama kuna damu yako na utaumia zaidi utakapo gundua ananyanduliwa na mtu mwengine na hili hali ana kiumbe chako!!!!!! Hivi mnawezaje kuwapa mimba michepuko???? Hii kwangu haiwezi kutokea maisha yangu mpaka nife, nazaa na mke wangu Tu. Marufuku mchepuko kubeba mimba yangu sitaaki mizozo
Sijauliza kuhusu kumpangia kitu, nauliza wewe unavyojipangia.Mtu wa miaka 40, utampangia kitu?
Ni sawa kabisaSijauliza kuhusu kumpangia kitu, nauliza wewe unavyojipangia.
Katika mipango yako, kwenda kunywa pombe na mwanamke mjamzito ni jambo sawa sawia?
Viwango vyako viko chini sana ukilinganisha na vyangu.Ni sawa kabisa
Unachotaka kusema ni sawa ukamfundishe mzee mwenye miaka 95 aliyekulia pale kijijini, maisha yake yote anatumia pombe ya kienyeji, leo hii wewe kijana wa leo hujafikisha ata 70 umuambie hiyo pombe ni chafu ina madhara kwake; atakuambia hiyo elimu ya makaratasi haijakusaidia kituViwango vyako viko chini sana ukilinganisha na vyangu.
Mpaka sasa hujaelewa kuwa hoja yangu wala si kumfundisha mtu mzima maisha yake asinywe pombe akiwa mjamzito.Unachotaka kusema ni sawa ukamfundishe mzee mwenye miaka 95 aliyekulia pale kijijini, maisha yake yote anatumia pombe ya kienyeji, leo hii wewe kijana wa leo hujafikisha ata 70 umuambie hiyo pombe ni chafu ina madhara kwake; atakuambia hiyo elimu ya makaratasi haijakusaidia kitu
kwahiyo gentleman,Huyu rafiki yangu (mchepuko) ana ujauzito wa miezi miwili; baada ya kumuona jana jioni hana mishe, nikaamua kumpigia simu ili nimtoe 'out' angalau tukapige kitimoto na maji ya dhahabu.
Tukakubaliana tukutane kiwanja fulani; baada ya kufika tukapiga kilo mbili za kitimoto pamoja na vinywaji, bahati nzuri sisi wote ni wanywaji.
Baada ya kupiga maji sana, tukawa tunajiandaa tuondoke, ile nataka kusimama tu, bi mkubwa (wife) akanipigia simu, tukabadilishana abc na kumuambia kesho nitakutumia kiasi fulani cha salio.
Ile mchepuko kusikia naongea na bi mkubwa kuhusu mikakati, akajawa na wivu na kuanza kulalamika na kusema, ''anayependwa hapa ni mtu mmoja tu''. Nikamuuliza kwa nini unasema hivyo, hakunijibu,matokeo yake akawa ananipa pochi yake nibebe. Nikamwambia mimi ni mwanaume siwezi kubeba pochi/mkoba wako.
Alikuwa ameshikilia chupa ya maji akatupa kule, tukavutana mpaka tukafika nyumbani; ile tumelala kitandani hataki kuguswa, akaamka kwa hasira usiku huo na kusema hatonitafuta tena na anaenda kwake; ikabidi nimwambie sawa hakuna shida.
Baada ya kuondoka usiku huo, nikamtumia ujumbe na kumwambia; mimi niko huru sasa kuwa na mtu mwingine,nawe pia kuwa huru kuwa na mwanaume mwingine.
Mpaka sasa hajajibu huo ujumbe; na sitegemei kumbembeleza arudi kwenye mahusiano.
Hongera mkuuNilishapoa hapa naangaza kupata pisi kali zaidi yake
Kwa sababu ana kizaigoti, atanicheki tu ๐kwahiyo gentleman,
unategemea akujibu nini kwenye huo ujumbe kwa mfano?๐คฃ
staki na taka ni mzigo mzito sana moyoni pa wengi aise ๐
Soko huria mkuuHongera mkuu
Hawa viumbe huwa hawakui, wana drama nyingiNi utoto tu huo mnafanya
Visilani vya mimba hivyo ni kawaida, wewe umepaniki, Hamisha na mimba pia ije kwako ili uwe huru zaidi.Huyu rafiki yangu (mchepuko) ana ujauzito wa miezi miwili; baada ya kumuona jana jioni hana mishe, nikaamua kumpigia simu ili nimtoe 'out' angalau tukapige kitimoto na maji ya dhahabu.