Nimeachana na wanawake wawili kwa sababu ya kauli hizi za kipumbavu

Nimeachana na wanawake wawili kwa sababu ya kauli hizi za kipumbavu

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Mmoja nilimwambia kwa kilichotokea ni kikubwa sana bado hapajatulia - akanijibu' YALIYOTOKEA YAMETOKEA NA YAMESHAPITA TANZANIA NI SALAMA NA MAISHA YANAENDELEA MSIKUZE MAMBO. baada ya hapo nikamblock. Mwanamke asie na huruma anaweza hata mimi akaniwekea sumu, halafu huyu ni single mother njaa kali sana kachakaa anategemea tundu lake ili aishi ila anawasapoti wakoloni weusi.

Mwingine aliniambi, YASHAPITA HAYO KILA UCHAGUZI VURUGU KAWAIDA KWANZA WALIOSABABISHA WATU KUFA NI WALIOLETA FUJO, nikajiuliza inamaana walioleta fujo ndio walikua wanaingia na bunduki hadi kwenye majumba ya watu kuua watu vibarazani? au mtu akileta fujo anatakiwa auliwe kama digidigi?! Huyu nikampigia kimya kabisa na namba nikafuta, HUYU NAE NI SINGLE MOTHER WA WATOTO WATATU HALAFU LILIVYO LIJINGA LILITAKA MIMI NDIO LINIBEBESHE MZIGO WA KULEA TIMU YAKE YA MPIRA, LINAKARIBIA 40 LAKINI BADO LIPO KWAO LINA NJAA SANA LAKINI LINASAPOTI UJINGA WAKATI WANAOFANYA HAYO NI MABILIONEA.

Kwa utafiti wangu wengi wanaosapoti uovu ni wana maisha magumu balaa sio wafaidika wala nini yani inashangaza sana, bora na wao wangekua wanapewa mabegi ya hela.
 
Kwenye hili nimepiga marufuku ndg zangu3 wasikanyage kwangu.
Ni baada ya kuniambia Tunasikia unakuwa unaenda kuandamana ukiuliwa familia utaiacha na nani?

Nikamwambia wewe ukifa kwa kugongwa na gari familia yako utaiacha na nani?
Mabishano yalikuwa makali mwisho nikampiga stop kukanyaga kwangu nikamwambia hujawahi hata kuleta kijiko cha chumvi kwangu huo ushauri nimekuomba?

Hao wawili walimwambia wife anizuie kuandamana nikawapigia simu wakakubali kuwa wamemuambia hivyo nikawapiga marufuku hadi pale nitakapo kufa ndo waanze kuja. Kwa sasa naweza kata mtu panga wazazi wapo na hawajanishauri kutokuenda k kwenye maandamano wewe una unauchungu upi kuzidi mama yangu na baba yangu ambapo kila nikitoka nilikuwa nawapa feed back namna kulivyo field na wanashukuru nimerudi salama
 
walikuwa sahihi, yale hayakuwa maandamano ya amani tuache kuegemea upande mmoja

anyway nasubiri ignore yako, maana ndo akili yako inapoishia ukiona mtu hamuendani kimtazamo unam~block
 
Afu wamama wengi wanajitoa ufaham,kuna mwingine jana nilimsikia kwenye mgahawa akiwaponda waandamanaji

Afu kitu wasichokijua ni kwamba sio kwamba watu wameandamana sababu hawataki rais Samia kuwa rais au maisha yamekuwa mabaya sana,la hasha kikubwa kilichosababisha maandamano haya ni mauaji na utekaji wa wakosoaji pia kuwakamata HECHE na Lissu
 
Mmoja nilimwambia kwa kilichotokea ni kikubwa sana bado hapajatulia - akanijibu' YALIYOTOKEA YAMETOKEA NA YAMESHAPITA TANZANIA NI SALAMA NA MAISHA YANAENDELEA MSIKUZE MAMBO. baada ya hapo nikamblock. Mwanamke asie na huruma anaweza hata mimi akaniwekea sumu, halafu huyu ni single mother njaa kali sana kachakaa anategemea tundu lake ili aishi ila anawasapoti wakoloni weusi.

Mwingine aliniambi, YASHAPITA HAYO KILA UCHAGUZI VURUGU KAWAIDA KWANZA WALIOSABABISHA WATU KUFA NI WALIOLETA FUJO, nikajiuliza inamaana walioleta fujo ndio walikua wanaingia na bunduki hadi kwenye majumba ya watu kuua watu vibarazani? au mtu akileta fujo anatakiwa auliwe kama digidigi?! Huyu nikampigia kimya kabisa na namba nikafuta, HUYU NAE NI SINGLE MOTHER WA WATOTO WATATU HALAFU LILIVYO LIJINGA LILITAKA MIMI NDIO LINIBEBESHE MZIGO WA KULEA TIMU YAKE YA MPIRA, LINAKARIBIA 40 LAKINI BADO LIPO KWAO LINA NJAA SANA LAKINI LINASAPOTI UJINGA WAKATI WANAOFANYA HAYO NI MABILIONEA.

Kwa utafiti wangu wengi wanaosapoti uovu ni wana maisha magumu balaa sio wafaidika wala nini yani inashangaza sana, bora na wao wangekua wanapewa mabegi ya hela.
Binafsi nimeaachana na demu wangu mmoja wa obey polisi
 
Inaonekana wewe ni mzee wa mashangazi, siyo kwa kuandamwa na mkosi wa single mother kiasi hicho.
 
mwanangu safi sna umeonesha misimamo ya ki-putin
 
Tatizo mnataka wanawake wasiende shule afu hapo hapo mnataka wawe na akili
 
Back
Top Bottom