Nimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball bet napiga pesa tu

mimi

nabet basketball

VOLLEYBALL

handball

ice hockey


Water polo


Betting nyepes kuliko zote hapo ni


1.VOLLEYBALL

2.BASKETBALL

3.HANDBALL

4.ICE HOCKEY

5.FUTSAL


saiz nna mbinu ya kula kila game nataka mpakwa mwez wa 6 niwe na 10m
Mkuu lengo limetimia?
 
Ukieka mkeka tuoneshe tuwe tunacopy ili tusaidiane katika kumfilisi kanji bhai

sent using samsung galaxy s8
 
nimeamini wabetishaji wanachezea wabetiji..yaani dortmund kakausha kipindi cha kwanza,cha pili akapigwa..mwishooni akarudisha..zilipoongezwa 30 akashinda..nikakossa laki 7.50
 
nimeamini wabetishaji wanachezea wabetiji..yaani dortmund kakausha kipindi cha kwanza,cha pili akapigwa..mwishooni akarudisha..zilipoongezwa 30 akashinda..nikakossa laki 7.50
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
nimeamini wabetishaji wanachezea wabetiji..yaani dortmund kakausha kipindi cha kwanza,cha pili akapigwa..mwishooni akarudisha..zilipoongezwa 30 akashinda..nikakossa laki 7.50eti dk ya 80 kapgwa,94 karudisha,120 kashinda..hela yangu ya luku inaniuma na ni zamu yangu..sijui nitawaambia nini wapangaji
 
Juzi kaja jamaa kanikuta nakula bia ch nji nimeweka mezani. Jamaa kalazimisha akaichukua achezee kamari ya mchina kwenye mashine azalishe ...huez amin 3000 yote imeliwa na bia ya pili nlikua sijalipia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ligi ya NBA itaanza lini ili nijumuike kwenye kumfilisi kanji bhai

sent using samsung galaxy s8
 
Mzee wa odds 500 wa kuweka 300 kupata laki 5.

Tokea utoe ahadi ya kutuma mikeka ya sh 300 uliyoshnda laki 5. Leo ni siku ya 5.

Vipi imefutika nin?
Aah aaah aah au fix
 
Kama inge wezekana jamaa ange anzisha group hasa la teregram kisha tujiungee ili tuone mengi kwa urahisi.
 
Asante sana muanzia Uzi
Nilijaribu Jana nimeweka game 15 hlf nkaweka 500 pesa ikasoma baada ya ushindi napata laki 7na usheee
Tatizo kampuni ninayotumia magumashi sana nataka kuulipia ghafla waka cancel mechi 7 basi nikaacha vilevile asbh naamka nakuta 27500 yani mkeka umewini

Wadau ni kampuni IPI nzuri zaidi mi natumia play master
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…