robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 526
- 1,524
Mkuu issue ya payment inanipa usingizi sana kwenye project zangu za flutter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. kabla ya node/express, anza na raw JSShukrani kwa mawazo yako mkuu, so kwa ushauri wako baada ya JS, inabidi nikasome tu php na nisiende node.js.
kama sijakwelewa vibaya.
😂hata sijui mnaongea nini? wekeni mkalimani basi.
Good tunataka wabunifu kama weweBaada ya kutumia Flutter kwa takribani miezi 6. Nimeamua kuachana nayo rasmi na kufanya Native Mobile App Development.
Hii ni kutokana na kutoridhishwa na performance ya Apps zinazotengenezwa kwa Flutter kulinganisha na Native Apps.
Kwa sasa nina wiki moja tangu nianze kujifunza kutengeneza IOS Apps kwa kutumia SwiftUI.
So far nimependa jinsi SwiftUI inavyofanania na Flutter kwenye upande wa kutengeneza UI. Zaidi nimependa State Management ya SwiftUI haichanganyi kama ile ya BLoC au Riverpod. Japo naimiss ile hot reload feature ya Flutter.
Nitakuwa na wewe pamoja mi napenda kujifunza snKwahiyo unatushaurije kwasababu wewe mwenyewe ndo uliisifia na kutuaminisha kuwa flutter na dart ni baba lao saivi unaikana tena kumbe ulikua ujaifahamu vizuri kwahiyo unashauri turudi kwenye Kotlin,java??
Btw
Mimi sio App dev ni web dev ila kwa mda mrefu natamani kujifunza App dev na nilitaka nianze na flutter due to its simplicity
Performance iko vizuri kwenye kuscroll, kufanya navigation etc, ila kuna stability issues unapotaka kutumia hardware ya platform husika.. inakubali, ila sio reliable.Brother hujaridhishwa na Performance?
Oya upo serious???
Una develop App gani? Inayo simulate Black holes?
Check codes zako
Mkuu habari ya kwako. Niko na project yangu ya android studio napata errors nyingi, sasa nashindwa kuziondoaUnakwama kwenye hatua gani? PC yako ina specs gani?