Nimeachana Rasmi na Flutter. Sasa ni ios/SwiftUI

Flutter ina matatizo ila haina reputation ya performance mbaya nadhani utakuwa umekosea sehemu, pia hakikisha unatumia release build na sio debug build wakati unapima performance.

Sababu kuu ya kutumia Xplatform ni kuongeza ufanisi i.e code moja itafanya kazi platforms tofauti.

Native itakuwa na performance nzuri sawa ila kwa kutumia native umezidisha kazi mara mbili so umetatua tatizo moja lakini umeleta matatizo mapya.
 
Flutter is the future. Ingawaje kwa sasa ni kweli ina performance issue kidogo kwenye app zinazohitaji hardware sana ila miaka michache ijayo ndio itakuwa preferrable language for app development. Binafsi tangu niingie kwenye flutter sijarudi tena kwenye native, kwa sababu kitu nachotaka kuachieve nikitumia flutter nakifanikisha muda mfupi zaidi ukilinganisha na native language. BTW all the best, kazi nzuri
 
Huwa narun command ya release mode kila nikitaka kupreview apps kwenye physical device..

Jaribu kufanya project kubwa ya flutter naamini utaona drawbacks zake

Nimebahatika kukutana na apps mbili za ecommerce zilizotengenezwa na wabongo kwa kutumia Flutter. Asee zina lag kinoma.. hata startup time yake ni kubwa.

Kuna ule weupe fulani kwenye statusbar huwa unajitokeza kwenye simu za android.. watu wengi hawajaweza kuufix.. na kuna watu wanasubmit app zao playstore hivo hivo na weupe wake.

Nilipata solution ya kuufix ule weupe kama unahitaji nikupatie nitakupatia.
 
Kuna ule weupe kwenye status bar ya simu za android.. Umeweza kuufix?..

Kuna ile fixing ya mpaka app uifungue then uifunge halafu uifungue tena ndo unaondoka.. ila kuna fixing ya kuumaliza kabisa.. ulifanikisha?
Flutter is the future. Ingawaje kwa sasa ni kweli ina performance issue kidogo kwenye app zinazohitaji hardware sana ila miaka michache ijayo ndio itakuwa preferrable language for app development. Binafsi tangu niingie kwenye flutter sijarudi tena kwenye native, kwa sababu kitu nachotaka kuachieve nikitumia flutter nakifanikisha muda mfupi zaidi ukilinganisha na native language. BTW all the best, kazi nzuri
 
Huwa narun command ya release mode kila nikitaka kupreview apps kwenye physical device..

Jaribu kufanya project kubwa ya flutter naamini utaona drawbacks zake

Nimebahatika kukutana na apps mbili za ecommerce zilizotengenezwa na wabongo kwa kutumia Flutter. Asee zina lag kinoma.. hata startup time yake ni kubwa.

Kuna ule weupe fulani kwenye statusbar huwa unajitokeza kwenye simu za android.. watu wengi hawajaweza kuufix.. na kuna watu wanasubmit app zao playstore hivo hivo na weupe wake.

Nilipata solution ya kuufix ule weupe kama unahitaji nikupatie nitakupatia.
Kama nilivyosema lag itakuwa inatokana na implementation mbovu sana sana utakuwa mnakosea kumanage state na unafanya re-rendering ambayo haihitajiki, situmii Flutter sihitaji fix.

Angalia ushauri huu kama kianzio cha kutafuta source ya performance issues
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]umejuaje mkuu,
Dah,nimefanya mods kweli,ila kila mikirun inagoma kabisaa.
Mie ndio nilianzia huko... kuchokonoa codes so najua changamoto za PHP hasa ukitaka ulink na Database pia huwa inasumbua sana zile files za Sql, pole sana..

Alafu ukute code zimenyongorotwa na Javascript na PHP huo mtungo wake lazima uombe poo
 
Acha tu mzee,yqni hapa daily nakomaa na AI tu.
Project kubwa mkuu,kuna jamaa yangu anajua sana.
Ila pozi nyingi sana,nakomaa tu mwenyewe
 
Naomba na mimi nitoe kidogo mtazamo wangu.

Swala la utumie technology gani kwenye kufanya development ya mobile application inategemeana na project uliyo nayo. Kama project unaona kabisa ni kubwa na itahusisha zaidi kufanya interaction na hardware basi Native development is good option to you. ila kama project ni ndogo na inahusisha just ku display data to mobile then currently flutter is good option sababu single code base utaweza pata application ya Android, iOS pamoja na Desktop.

lakini kuna jetpack compose Multi platform hiii naiona ikija kuuwa soko la flutter sababu with single code base utaweza pata application ya Android, iOS and Desktop. Ila faida yake haiishii hapo maana pia itawapa uwezo wale walio na application zao za native kuweza kufanya migration to kotlin multplatform.
Faida nyingine ni kuwa itakuwa inatoa uhuru zaidi wa kuandika shared code na uwanja wa kufanya specific platform code.

Ushauri wangu kama wewe umeamua kufanya only mobile development basi huna budi kujua Kotlin, Flutter na SwiftUI maana industry kwa sasa bado inazihitaji zote. But for future Kotlin multi platform is best.

Native development haikwepeki kwa mobile developer.
 
Acha tu mzee,yqni hapa daily nakomaa na AI tu.
Project kubwa mkuu,kuna jamaa yangu anajua sana.
Ila pozi nyingi sana,nakomaa tu mwenyewe
Safi sana.. mie madude makubwa niliona kwangu hayana faida maana huwez kuwork alone inatakiw muwe team.

Mie ninaproject ya mwaka sasa nadeal na ki app kadogo sana ka Mb 10 tu..ila maajabu yake ache kabisa.. ni ishu za Cyber Forensic hasa kwa Mobile Phones.. ikiwa tyr mtaisikia.
 
Back
Top Bottom