64 mkuu na ina windows 10PC yako iko vizuri.. Ni 32bit au 64bit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
64 mkuu na ina windows 10PC yako iko vizuri.. Ni 32bit au 64bit
Mkuu uko wapi??nina project yangu ya ecomerce,nimeshindwa kipengele kidogo tu.Ndio mkuu napiga kwa node js & express..
Na web napiga pia
Nipo Dar, project ya web au app?Mkuu uko wapi??nina project yangu ya ecomerce,nimeshindwa kipengele kidogo tu.
Ya Web mkuu,php inanishinda kabisaNipo Dar, project ya web au app?
Mimi nafanya kwa javascript mkuuYa Web mkuu,php inanishinda kabisa
Inbox mkuuMimi nafanya kwa javascript mkuu
Mkuu android studio inachukua mb ngap kudownloadMkuu nimedownload android studio ila napata wakati mgumu kuiset fresh ikarun sasa sijui kwasababu pc haikidhi minimum requirement za resolution
Kama Gb ila ukisha install inaanza download files zake na apis hapo ndipo inakula za kutoshaMkuu android studio inachukua mb ngap kudownload
Php mwanaukome... ile unatakiwa uende kwa kutulia na mbaya sana kama uliiba zile free codes alaf unataka ufanye Mods.. lazima ikutese.Ya Web mkuu,php inanishinda kabisa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]umejuaje mkuu,Php mwanaukome... ile unatakiwa uende kwa kutulia na mbaya sana kama uliiba zile free codes alaf unataka ufanye Mods.. lazima ikutese.
Huwa narun command ya release mode kila nikitaka kupreview apps kwenye physical device..Flutter ina matatizo ila haina reputation ya performance mbaya nadhani utakuwa umekosea sehemu, pia hakikisha unatumia release build na sio debug build wakati unapima performance.
Sababu kuu ya kutumia Xplatform ni kuongeza ufanisi i.e code moja itafanya kazi platforms tofauti.
Native itakuwa na performance nzuri sawa ila kwa kutumia native umezidisha kazi mara mbili so umetatua tatizo moja lakini umeleta matatizo mapya.
Flutter is the future. Ingawaje kwa sasa ni kweli ina performance issue kidogo kwenye app zinazohitaji hardware sana ila miaka michache ijayo ndio itakuwa preferrable language for app development. Binafsi tangu niingie kwenye flutter sijarudi tena kwenye native, kwa sababu kitu nachotaka kuachieve nikitumia flutter nakifanikisha muda mfupi zaidi ukilinganisha na native language. BTW all the best, kazi nzuri
Kama nilivyosema lag itakuwa inatokana na implementation mbovu sana sana utakuwa mnakosea kumanage state na unafanya re-rendering ambayo haihitajiki, situmii Flutter sihitaji fix.Huwa narun command ya release mode kila nikitaka kupreview apps kwenye physical device..
Jaribu kufanya project kubwa ya flutter naamini utaona drawbacks zake
Nimebahatika kukutana na apps mbili za ecommerce zilizotengenezwa na wabongo kwa kutumia Flutter. Asee zina lag kinoma.. hata startup time yake ni kubwa.
Kuna ule weupe fulani kwenye statusbar huwa unajitokeza kwenye simu za android.. watu wengi hawajaweza kuufix.. na kuna watu wanasubmit app zao playstore hivo hivo na weupe wake.
Nilipata solution ya kuufix ule weupe kama unahitaji nikupatie nitakupatia.
Mie ndio nilianzia huko... kuchokonoa codes so najua changamoto za PHP hasa ukitaka ulink na Database pia huwa inasumbua sana zile files za Sql, pole sana..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]umejuaje mkuu,
Dah,nimefanya mods kweli,ila kila mikirun inagoma kabisaa.
Acha tu mzee,yqni hapa daily nakomaa na AI tu.Mie ndio nilianzia huko... kuchokonoa codes so najua changamoto za PHP hasa ukitaka ulink na Database pia huwa inasumbua sana zile files za Sql, pole sana..
Alafu ukute code zimenyongorotwa na Javascript na PHP huo mtungo wake lazima uombe poo
Safi sana.. mie madude makubwa niliona kwangu hayana faida maana huwez kuwork alone inatakiw muwe team.Acha tu mzee,yqni hapa daily nakomaa na AI tu.
Project kubwa mkuu,kuna jamaa yangu anajua sana.
Ila pozi nyingi sana,nakomaa tu mwenyewe