Nimeachana Rasmi na Flutter. Sasa ni ios/SwiftUI

Mkuu issue ya payment inanipa usingizi sana kwenye project zangu za flutter
 
Shukrani kwa mawazo yako mkuu, so kwa ushauri wako baada ya JS, inabidi nikasome tu php na nisiende node.js.
kama sijakwelewa vibaya.
1. kabla ya node/express, anza na raw JS

unaanza na zile static web(front-end tupu), ni mwendo wa raw html, raw css and raw JS
kisha utapata msukumo wa kujifunza dynamic web,

hapa ndipo utapata msukumo wa kujifunza php ku handle data(kupokea na kurudisha) upande wa back-end, utapata msukumo wa kuhitaji kutunza hizo data, hapa tena utajikuta unajifunza SQL moja kwa moja

binafsi nilijifunza kwa mtindo huo
 
Brother hujaridhishwa na Performance?
Oya upo serious???
Una develop App gani? Inayo simulate Black holes?

Check codes zako
 
Good tunataka wabunifu kama wewe
 
Nitakuwa na wewe pamoja mi napenda kujifunza sn
 
Brother hujaridhishwa na Performance?
Oya upo serious???
Una develop App gani? Inayo simulate Black holes?

Check codes zako
Performance iko vizuri kwenye kuscroll, kufanya navigation etc, ila kuna stability issues unapotaka kutumia hardware ya platform husika.. inakubali, ila sio reliable.

Kiufupi sijapata ile user experience ninayopata nikitumia native apps

Code zangu naziandika vizuri, natumia reusable components, natumia architecture patterns, nafuata best practices kuhakikisha siandiki uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…