Nimeachwa na mpenzi wangu jamani!

Ahsante sana najua ni ngumu ila naamini nitavuka hichi kipindi Mungu nisaidie🙏
 
Jitowe roho basi, umalize machungu.
. Shwaaaain.
 
Tukiwaambia muende chuo kusoma hamtaki kazi mapenzi tu
 
Usiumie mkuu, maumivu huponywa na maumivu ila nakuhakikishia utakaa sawa kabisa. Tough times huchukua muda mfupi sana.
Ahsante sana umenitia nguvu sana kaka💪kwa ushauri wenu
 
Kwani kidudu chako kaking'oa akaondoka nacho?

Shukuru kakuumbia mapema kabla mambo hayajaenda hatua ya mbali kama kimchumbia au kumuoa.

Ni suala la muda tu utazoea na utaona kawaida sana
 
Kwani kidudu chako kaking'oa akaondoka nacho?

Shukuru kakuumbia mapema kabla mambo hayajaenda hatua ya mbali kama kimchumbia au kumuoa.

Ni suala la muda tu utazoea na utaona kawaida sana
Yaani hawa wanawake sijui vip na huyo jamaa anaerudiana nae ni kashaoa ana mwezi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…