Nimeachwa na mpenzi wangu jamani!

Nimeachwa na mpenzi wangu jamani!

"Umeachwa we umeachwa.....kubali kubaliiii.....utampata wako mtapeana kwa dhati.......

Wala usiwaze kujipiga risasi usijinyonge......usijighasi kwenye moyo wake huna nafasi ize....usilazimishe......
Siwezi kujiua ila maumivu hayafichiki
 
Nimeachwa ghafla unapataje mwengine?
Halafu mi huwa na deal na mtu mmoja huyo huyo sina mambo mengi na hii ndio imeniponza
Okay sawa, upo tayari kuingia katika penzi jipya, penzi la mtoto mzuri, penzi la moto lisilo na mbambamba wala kuachwa, penzi litakalokufanya ujihisi upo Eden?

Au unasubiri kwanza moyo upoe?
 
Ha hahahahahah haya bhna nitakudanganya bure kwa sasa akili hata haipo sawa nimeachwa leo asubuhi nikikwambia nakupenda itakuwa uongo.
Kwanza sasa hivi naona wasichana wote matapeli tu.
 
Take time, yameshatutokea sana hayo. Mimi enzi za " mabadiliko, lowaaaasa" "lowaaaasa, mabadiliko" nilikuwa kwenye maumivu makali kama wewe lakini muda uliniponya. Nikapata mke mzuri aliyekamilika na kumzidi mbaaali sana yule mwanamke na mbaya zaidi alishakuwa na mtoto.

Akili pia ilishaniambia kuwa huyu sio lakini upofu wa utelezi ulikuwa na nguvu mno kwangu. Badaye nilikuja kutambua kwamba ule ulikuwa ni utoto. Nilikuja kukutana naye alishazalishwa mtoto mwingine na jamaa halafu akamtelekeza.

NOTE: USIJE UKARUDIANA NAYE HUYO MWANAMKE, NI HATARI SANA KWAKO.
 
Ahsante sana nimejifunza na hili ni funzo kwangu
 
Ahsante woote mnaonipa moyo atlest mnanifariji maana sina wa kumuambia naugulia ndani kwa ndani
Hata sijamwambia mtu na sisemi.
 
Back
Top Bottom