Nimeachwa na mpenzi wangu jamani!

Nimeachwa na mpenzi wangu jamani!

Ulizaliwa nae? kumbafu wewe
 
Attachments

  • Screenshot_20240930_062426_X.jpg
    Screenshot_20240930_062426_X.jpg
    187.8 KB · Views: 3
Huyo demu wako kama namuona anavoutafuta u-single mother kwa nguvu, sasa amekuacha wewe, anaenda kujenga future/familia gani na mume wa mtu 🤔 si heri angeenda kwa mwanaume ambae bado hana familia, na kuna 80% chance huyo mme wa mtu hana mpango wa kumwacha mkewe, anamdanganya tu huyo mdada ili apate access ya papuchi. Raia mpya

Labda kina dada Kelsea waje watushauri kwenye hili, unamwacha mwanaume single anaekupenda, unaenda kwa mme wa mtu Kelsea To yeye
Ngoja yamkute mazito labda akili ndio itamkaa sawa.
 
Huyo demu wako kama namuona anavoutafuta u-single mother kwa nguvu, sasa amekuacha wewe, anaenda kujenga future/familia gani na mume wa mtu 🤔 si heri angeenda kwa mwanaume ambae bado hana familia, na kuna 80% chance huyo mme wa mtu hana mpango wa kumwacha mkewe, anamdanganya tu huyo mdada ili apate access ya papuchi. Raia mpya

Labda kina dada Kelsea waje watushauri kwenye hili, unamwacha mwanaume single anaekupenda, unaenda kwa mme wa mtu Kelsea To yeye
Ngoja tuone maana wanawake akili zao wanajua wenyewe maana anasema eti jamaa alilazimishwa kumuoa huyu wa kwanza sio hamtaki ndio anataka kumuoa yeye
Si rahisi mtu atoe mahali aoe halafu hata miez 2 haijapita aache mke kirahisi sio kweli.
 
Siku kama ya 5 hivi mpenzi wangu simuelewi mawasiliano hafifu ubize mwingi si kawaida nikimuuliza ananiambia ni kazi za nyumbani maana ameenda kwao baada ya kufunga chuo so kazi za shambani ni nyingi muda mdogo.

Sasa tokea jana hatukuwa na maelewano mazuri mpka siku inaisha hakuwa sawa. Leo sasa kanitamkia Live kwamba karudi kwa jamaa yake kwa kuwa 'ametoka nae mbali' so ni ngumu kumuacha.

Nyie huyu msichna nina miaka nae miwili leo anakuja kuniacha ghafla hivi mumivu yake sikieni tu ni afadhali hata maumivu ya kutolewa roho😭😭.

Kuchwa kunauma sana hasa muda na pesa nilizowekeza kwake nikifikiria ningekuwa na mtu seriously pengine ningeshapata hata mtoto now.
KAZA
 
Story yako inataka kufanana kidogo na ya kwangu, kuna mdada alimaliza form 4 nlimtongoza, akanikataa, baada ya mda mfupi akaenda kuzaa na mme wa mtu mwenye miaka 40+ sijajua reasoning process ya wadada ikoje, si heri angeenda kuzaa na kijana anaejielewa 🤣 Raia mpya
 
Siombei mabaya ila ngoja tuone mwisho wake
 
Huyo demu wako kama namuona anavoutafuta u-single mother kwa nguvu, sasa amekuacha wewe, anaenda kujenga future/familia gani na mume wa mtu 🤔 si heri angeenda kwa mwanaume ambae bado hana familia, na kuna 80% chance huyo mme wa mtu hana mpango wa kumwacha mkewe, anamdanganya tu huyo mdada ili apate access ya papuchi. Raia mpya

Labda kina dada Kelsea waje watushauri kwenye hili, unamwacha mwanaume single anaekupenda, unaenda kwa mme wa mtu Kelsea To yeye
Inashangaza.... tatizo upendo
 
Maumivu unayopitia ww sasa hv ndio nami pia nayapitia kwa sasa, tena Mm huyu wangu n single mother Ila alishanitengeneza na nikamuamini na nikampenda kweli.
Nmewekeza muda na pesa nyingi sana kwake, lkn bado akanifanyia mambo ya ajabu.

But soon ntakuwa Sawa, h nahesabu kama nilikosea njia hvy n funzo kwangu.
Matatizo yake tujiandae kupopolewa singlemoms wa jf....twafwaa🙆
 
Huyo demu wako kama namuona anavoutafuta u-single mother kwa nguvu, sasa amekuacha wewe, anaenda kujenga future/familia gani na mume wa mtu 🤔 si heri angeenda kwa mwanaume ambae bado hana familia, na kuna 80% chance huyo mme wa mtu hana mpango wa kumwacha mkewe, anamdanganya tu huyo mdada ili apate access ya papuchi. Raia mpya

Labda kina dada Kelsea waje watushauri kwenye hili, unamwacha mwanaume single anaekupenda, unaenda kwa mme wa mtu Kelsea To yeye
Inauma bro halafu mpka ndugu baadhi washamjua yaani kila nikifukiria bora tusingetambulishana
 
Siku kama ya 5 hivi mpenzi wangu simuelewi mawasiliano hafifu ubize mwingi si kawaida nikimuuliza ananiambia ni kazi za nyumbani maana ameenda kwao baada ya kufunga chuo so kazi za shambani ni nyingi muda mdogo.

Sasa tokea jana hatukuwa na maelewano mazuri mpka siku inaisha hakuwa sawa. Leo sasa kanitamkia Live kwamba karudi kwa jamaa yake kwa kuwa 'ametoka nae mbali' so ni ngumu kumuacha.

Nyie huyu msichna nina miaka nae miwili leo anakuja kuniacha ghafla hivi mumivu yake sikieni tu ni afadhali hata maumivu ya kutolewa roho😭😭.

Kuchwa kunauma sana hasa muda na pesa nilizowekeza kwake nikifikiria ningekuwa na mtu seriously pengine ningeshapata hata mtoto now.
Pole sana kijana, jikaze angaza macho unyakue mwingine
 
Back
Top Bottom