Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Maumivu ya sasa yatakuwa na mwisho, nmeshajifunza mengi kutoka kwa huyu wa sasa.Wajeruhi Kamanda utaugulia maumivu kila siku Hadi lini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maumivu ya sasa yatakuwa na mwisho, nmeshajifunza mengi kutoka kwa huyu wa sasa.Wajeruhi Kamanda utaugulia maumivu kila siku Hadi lini ?
Hahahahahha.... Nimecheka kwa sauti.Siku kama ya 5 hivi mpenzi wangu simuelewi mawasiliano hafifu ubize mwingi si kawaida nikimuuliza ananiambia ni kazi za nyumbani maana ameenda kwao baada ya kufunga chuo so kazi za shambani ni nyingi muda mdogo.
Sasa tokea jana hatukuwa na maelewano mazuri mpka siku inaisha hakuwa sawa. Leo sasa kanitamkia Live kwamba karudi kwa jamaa yake kwa kuwa 'ametoka nae mbali' so ni ngumu kumuacha.
Nyie huyu msichna nina miaka nae miwili leo anakuja kuniacha ghafla hivi mumivu yake sikieni tu ni afadhali hata maumivu ya kutolewa roho😭😭.
Kuchwa kunauma sana hasa muda na pesa nilizowekeza kwake nikifikiria ningekuwa na mtu seriously pengine ningeshapata hata mtoto now.
Pole sana. Huna budi kukubali. Sio njema kulazimisha penziSiku kama ya 5 hivi mpenzi wangu simuelewi mawasiliano hafifu ubize mwingi si kawaida nikimuuliza ananiambia ni kazi za nyumbani maana ameenda kwao baada ya kufunga chuo so kazi za shambani ni nyingi muda mdogo.
Sasa tokea jana hatukuwa na maelewano mazuri mpka siku inaisha hakuwa sawa. Leo sasa kanitamkia Live kwamba karudi kwa jamaa yake kwa kuwa 'ametoka nae mbali' so ni ngumu kumuacha.
Nyie huyu msichna nina miaka nae miwili leo anakuja kuniacha ghafla hivi mumivu yake sikieni tu ni afadhali hata maumivu ya kutolewa roho😭😭.
Kuchwa kunauma sana hasa muda na pesa nilizowekeza kwake nikifikiria ningekuwa na mtu seriously pengine ningeshapata hata mtoto now.
Maumivu lazima acha ujuaji labda kama si binadamu.Kuwa Mwanaume acha ujinga. Eti unaumia kuliko maumivu ya kutolewa roho ni udhaifu kbs. Na haya ndio madhara ya kutahiriwa na ganzi.
😃😃😃😃😃😃😃Maumivu unayopitia ww sasa hv ndio nami pia nayapitia kwa sasa, tena Mm huyu wangu n single mother Ila alishanitengeneza na nikamuamini na nikampenda kweli.
Nmewekeza muda na pesa nyingi sana kwake, lkn bado akanifanyia mambo ya ajabu.
But soon ntakuwa Sawa, h nahesabu kama nilikosea njia hvy n funzo kwangu.
Single maza bila shaka itakuwa karud kwa baba mtoto wakeMaumivu unayopitia ww sasa hv ndio nami pia nayapitia kwa sasa, tena Mm huyu wangu n single mother Ila alishanitengeneza na nikamuamini na nikampenda kweli.
Nmewekeza muda na pesa nyingi sana kwake, lkn bado akanifanyia mambo ya ajabu.
But soon ntakuwa Sawa, h nahesabu kama nilikosea njia hvy n funzo kwangu.
Huyo demu wako kama namuona anavoutafuta u-single mother kwa nguvu, sasa amekuacha wewe, anaenda kujenga future/familia gani na mume wa mtu 🤔 si heri angeenda kwa mwanaume ambae bado hana familia, na kuna 80% chance huyo mme wa mtu hana mpango wa kumwacha mkewe, anamdanganya tu huyo mdada ili apate access ya papuchi. Raia mpyaEenh ndio ndio napia jamaa nasikia anataka kumuacha mkewe arudiane na ex wake waowane