Raia mpya
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 673
- 1,915
- Thread starter
- #121
Ahsante sana kaka kqa ushauri Ahsante sana tena sanaJapo nimecheka na sio mazuri ila kuchezea future ya watu sio poa
Kwa hiyo ulitaka akupe mtoto tu ila kuoa aaah, ilipaswa wakati huo uoneshe nia ya kweli na kuwa serious naye
Lazima angekuzingatia tu, miaka miwili unazagamua halafu huoneshi nia ya kujenga kibanda lazima ashtuke
Anyway, tafuta utapata mwengine anaweza asiwe na sifa kama za aliyepita ila ndio hakuna namna zaidi ya kupenda unachopata