Nimeachwa na mpenzi wangu jamani!

Ulizaliwa nae? kumbafu wewe
 
Attachments

  • Screenshot_20240930_062426_X.jpg
    187.8 KB · Views: 3
Ngoja yamkute mazito labda akili ndio itamkaa sawa.
 
Ngoja tuone maana wanawake akili zao wanajua wenyewe maana anasema eti jamaa alilazimishwa kumuoa huyu wa kwanza sio hamtaki ndio anataka kumuoa yeye
Si rahisi mtu atoe mahali aoe halafu hata miez 2 haijapita aache mke kirahisi sio kweli.
 
KAZA
 
Story yako inataka kufanana kidogo na ya kwangu, kuna mdada alimaliza form 4 nlimtongoza, akanikataa, baada ya mda mfupi akaenda kuzaa na mme wa mtu mwenye miaka 40+ sijajua reasoning process ya wadada ikoje, si heri angeenda kuzaa na kijana anaejielewa 🤣 Raia mpya
 
Siombei mabaya ila ngoja tuone mwisho wake
 
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Inashangaza.... tatizo upendo
 
Matatizo yake tujiandae kupopolewa singlemoms wa jf....twafwaa🙆
 
Inauma bro halafu mpka ndugu baadhi washamjua yaani kila nikifukiria bora tusingetambulishana
 
Pole sana kijana, jikaze angaza macho unyakue mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…