Nimeachwa na mpenzi wangu, naumia sana

Nimeachwa na mpenzi wangu, naumia sana

tatizo sio lake, tatizo lipo kwako,acha utoto na usumbufu, mtu kakwambia nmelala nikiamka nakutafuta wew unapiga simu mara 8 unanidai?? mwanamke kashakuona wew haupo matured kichwani na huna dignity ya kiume
 
Ndio maana huwa nawambia,madem hawataki Userious nao.

Makosa makubwa ulofanya.


[emoji117]kumuomba Msamaha...ndio maana akakuambia hujamkosea ( tayari keshajua hujiamin na huna uhakika wa unachokifanya yaan wee ni mtoto).

[emoji117]Kumbembeleza ..... Huu ndio ujinga mwenyewe, unabembeleza wakati hujafanya kosa.

[emoji117]Kumuuliza kwa nini amekuweka black list .....


KAMA UNATAKA NITAFUTE NIKUPE MADINI, Atakuletea K mwenyewe huo MCHORO uupasue.

Zero IQ unafeli wapi ,kuwapa madesa madogo wako
 
Kwahiyo ulifanikiwa tu kushika papuchi only?
 
Bro kuna manzi mmoja nilikua naisikiliza story ya Youtube kwa Davista mata. Yeye alikua na muonekano wa kawaida tu lakini ni mchawi. Na alikua Agent wa kuzimu, ambapo alipewa kazi ya kuwaleta wanaume kuzimu.
Sasa njia alokua anaitumia kuwadaka, ni kuwakubalia na akishafanya nao tu mapenzi, basi tayari mwanaume hana siku nyingi.
Sasa kuna wengine walikua wanamtongoza anawakatalia. Walikua wanamuna anaringa sana. Lakini kumbe alikua anawahurumia na kuwapenda tofauti na walivyofikiri.
So kwa upande wako, naweza kusema bora hujapiga. Unaweza hisi amekuchukia kumbe anakupenda na hajataka akupeleke kuzimu (Kama mchawi lakini) ukawe msukule.
Kwa maana hiyo basi, we shukuru tu Mungu anza mbele achana nae.
 
Mkuu umeachwa kwa uFala wako,,,, Punguza kuwa nice guy,,,, watoto wa kike wengine ukiwa hvo wanakuona kama unafanana nao vile...

Kidume kaza,, kuwa na misimamo... Sio hujakosea halafu unaomba msamaha,,badala ya kula mzigo unaishia kushika papuchi dk5
 
Huna utofauti na nenga, wazee wa vinanda
 
Hapa alikulisha chakula

_Hapa unataka kula denda kwani hukushiba chakula
_Alafu denda kwani chakula wee kichaa

Wewe ukishikwa kwa dakika 5 utakubali

Wewe ni mkorofi tu

wewe ukigongwa utakubali

Kwani wewe hukula ubwabwa wake ofisini kwake

Toboa macho usimuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
 
Achana nae, shida Ni kuwa unaomuonesha unampenda sana na anakuwa na jeuri, yaani unapiga simu Mara 8😲😲asee, hebu jifanye humuoni.
 
Back
Top Bottom