Nimeachwa na mpenzi wangu, naumia sana

tatizo sio lake, tatizo lipo kwako,acha utoto na usumbufu, mtu kakwambia nmelala nikiamka nakutafuta wew unapiga simu mara 8 unanidai?? mwanamke kashakuona wew haupo matured kichwani na huna dignity ya kiume
 
Ndio maana huwa nawambia,madem hawataki Userious nao.

Makosa makubwa ulofanya.


[emoji117]kumuomba Msamaha...ndio maana akakuambia hujamkosea ( tayari keshajua hujiamin na huna uhakika wa unachokifanya yaan wee ni mtoto).

[emoji117]Kumbembeleza ..... Huu ndio ujinga mwenyewe, unabembeleza wakati hujafanya kosa.

[emoji117]Kumuuliza kwa nini amekuweka black list .....


KAMA UNATAKA NITAFUTE NIKUPE MADINI, Atakuletea K mwenyewe huo MCHORO uupasue.

Zero IQ unafeli wapi ,kuwapa madesa madogo wako
 
Kwahiyo ulifanikiwa tu kushika papuchi only?
 
Bro kuna manzi mmoja nilikua naisikiliza story ya Youtube kwa Davista mata. Yeye alikua na muonekano wa kawaida tu lakini ni mchawi. Na alikua Agent wa kuzimu, ambapo alipewa kazi ya kuwaleta wanaume kuzimu.
Sasa njia alokua anaitumia kuwadaka, ni kuwakubalia na akishafanya nao tu mapenzi, basi tayari mwanaume hana siku nyingi.
Sasa kuna wengine walikua wanamtongoza anawakatalia. Walikua wanamuna anaringa sana. Lakini kumbe alikua anawahurumia na kuwapenda tofauti na walivyofikiri.
So kwa upande wako, naweza kusema bora hujapiga. Unaweza hisi amekuchukia kumbe anakupenda na hajataka akupeleke kuzimu (Kama mchawi lakini) ukawe msukule.
Kwa maana hiyo basi, we shukuru tu Mungu anza mbele achana nae.
 
Mkuu umeachwa kwa uFala wako,,,, Punguza kuwa nice guy,,,, watoto wa kike wengine ukiwa hvo wanakuona kama unafanana nao vile...

Kidume kaza,, kuwa na misimamo... Sio hujakosea halafu unaomba msamaha,,badala ya kula mzigo unaishia kushika papuchi dk5
 
Daah..anarudi vp na ashaniweka blacklist
 
Huna utofauti na nenga, wazee wa vinanda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
 
Achana nae, shida Ni kuwa unaomuonesha unampenda sana na anakuwa na jeuri, yaani unapiga simu Mara 8😲😲asee, hebu jifanye humuoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…