Nimeachwa na mpenzi wangu, naumia sana

Pole sana...

Punguza uzembe... na usi force sana...
 

Tupa kule.
Date na mtu ambaye mtaendana, usihangaike na mtu anayejiona keki, achana nae kwani ye nani?
Achia hapo hapo mbeleni angekusumbua tu
 
Hawa watu c wa kuamin,jana usiku sina hili wala lile dem ananitext P "cwez endelea na ww,nmekucheat na nakuwa na guilty cz naona nmefanya kosa sifai kua gf wako ckuwa na la kujibu maana keshaamua kwenya kwa madungangembe nitafanyaje ss?
Yani umeachwa bila sababu mkuu
 
Tupa kule.
Date na mtu ambaye mtaendana, usihangaike na mtu anayejiona keki, achana nae kwani ye nani?
Achia hapo hapo mbeleni angekusumbua tu
Huu ushauri wako nitauzingatia sana
 
tatizo sio lake, tatizo lipo kwako,acha utoto na usumbufu, mtu kakwambia nmelala nikiamka nakutafuta wew unapiga simu mara 8 unanidai?? mwanamke kashakuona wew haupo matured kichwani na huna dignity ya kiume
Daaah
 
Nipe madini kaka
 
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Hivi watu wanao umia na kulia kisa mapenzi, huwa wako timamu?, au mie ndo sielewi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] JF idumu milele. Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah lol
 
Carlos Carlos Carlos daah
 
Duuh sasa wewe ndo ulifanya uzembe,ungempeleka geto kipindi anaonyesha mapenzi kwako ndo ungemla kiulainii
Eehh namm ndio nimemuona mzembe sanaa

Mapenzi yakiwa yamoto ndo hapohapo unabidi umpeleke moto

Akija kushtuka, kama nayeye alikua anakupima tu, tayar unakua umeshamla.


Atabaki kujilaumu tu..

yaan nimeshaliwa daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…