Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Shida yako wengine tusielewe sio😢hebu andka kiswahili, wengi tumeachwa na tutachukua ushauri kupitia huu uzi😰
 
Hata wasojiita cute wanapigwa matukio kama kawa
 
Kwani ulimzaa wewe hadi utake asikuache?
Kitu gani cha thamani amekupatia kiasi usiweze kumuacha aende zake ???

Hakua wako,

Riziki yako kwake imeishia hapo,

Dunia bado Ina watu wengi wema na wenye upendo mwingi

Siku moja ukibahatika kukutanaye m,moja wapo hata utajiona fala kupoteza muda kumlilia mtu ambaye ni hakua sahihi kwako.
 
Mkiona watu wapo kwenye mahusiano mwaka wa 10 sijui 20 wapo tu msifikiri wamefika kimiujiza.

Unaachwa unatafuta shida nn una solve, mnarudiana, ukiachwa ukakubali kuachika maana yake hata wewe ulipanga muachane lilikua ni swala la muda tu.

Ndio mana kuna marafiki,ndugu,majirani, tafuta msaada kwa watu wapembeni wawasaidie mrudiane kama kweli unamuhitaji Fanya kwa ajili yako na moyo wako.

Mna kazi ya kufungua nyuzi JF ila unashindwa mtafuta mwenzio mkayaongea, si ana marafiki,ndugu zake je, washirikishe wakusaidie kukuombea msamaha.

Kukubali muachane kila ukiachwa utaachika na wangapi? Hamnaga mahusiano yenye barabara iliyonyooka jifunzeni kutatua changamoto zenu katika mahusiano,

Sio mtu anakwambia Nimekuacha na wewe eti unaachika, ndio mana mna list ya WANAUME kibao kwenye historia zenu za mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…