Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Nme jiskia raha .yani nikiona mwanamke ana lia lia penzi au kavunjwa moyo najisikia raha sana.
 
Dada wewe ni muuaji,,hii mbona sikuona mapema,,wacha nimrukie hewani saiv apa,, aaaalaaah πŸ˜‚
 
Dada wewe ni muuaji,,hii mbona sikuona mapema,,wacha nimrukie hewani saiv apa,, aaaalaaah πŸ˜‚
Utamuhurumiaje mtu ambae hakukuonea huruma?? Dawa ikimkolea akaanza kujieleza sana majibu yawe mafupi ya OK, sawa, kumbe, ndio, na akituma sms usiijibu chap kaa hata masaa lazima anyooke
 
Siamini ujue, kwahiyo utanishughulikia? Au kama yanga tu dakika ya tano.....☺️
Mimi nna utaratibu wangu, cha kwanza hata dakika ya 2 fresh maana inatogeag dharura mechi ikaahirishwa, mabao mengine it is for you beibeπŸ˜‚, mpaka niishiwe nguvu kabisa yaani
 
Unataka mtoto wa watu afe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…