Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi eti......Nitafute nikupe penzi, siku mbili tatu, huyo bwana atarudi akiwa analia umrudie wakati wewe ume- enjoy na una mrudia kama option
Weeeee, kwahiyo nikikupea utawezana.....au sio!!Nampenda Evelyn Salt mimi
Yeah na siwezi kutangaza aminiWeeeee, kwahiyo nikikupea utawezana.....au sio!!
Siamini ujue, kwahiyo utanishughulikia? Au kama yanga tu dakika ya tano.....☺️Yeah na siwezi kutangaza amini
ukija kuzoea au kusahau huko mbeleni utajiona jinsi ulivo BoyaMambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.
Una umri gani?Mambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.
Dada wewe ni muuaji,,hii mbona sikuona mapema,,wacha nimrukie hewani saiv apa,, aaaalaaah 😂Yani ukimpa mambo we ndo fala, jifanye unateseka na kuachwa kwake hujapata mbadala akijaa kwenye mfumo mmalize utamsoma kitu gani kinampa maumivu kwenye mapenzi tumia hicho kumpigia halafu mute km sio wewe usimblock ila mpuuze kona zote, kama ni lazima kukutana unamwenya/tabasamu la kulazimisha tu halafu endelea na hamsini zako,,, lazima akuite mama
Utamuhurumiaje mtu ambae hakukuonea huruma?? Dawa ikimkolea akaanza kujieleza sana majibu yawe mafupi ya OK, sawa, kumbe, ndio, na akituma sms usiijibu chap kaa hata masaa lazima anyookeDada wewe ni muuaji,,hii mbona sikuona mapema,,wacha nimrukie hewani saiv apa,, aaaalaaah 😂
Mimi nna utaratibu wangu, cha kwanza hata dakika ya 2 fresh maana inatogeag dharura mechi ikaahirishwa, mabao mengine it is for you beibe😂, mpaka niishiwe nguvu kabisa yaaniSiamini ujue, kwahiyo utanishughulikia? Au kama yanga tu dakika ya tano.....☺️
nipo tayari kufanya ushauri wako wowote 😌😌Utamuhurumiaje mtu ambae hakukuonea huruma??
Unataka mtoto wa watu afeYani ukimpa mambo we ndo fala, jifanye unateseka na kuachwa kwake hujapata mbadala akijaa kwenye mfumo mmalize utamsoma kitu gani kinampa maumivu kwenye mapenzi tumia hicho kumpigia halafu mute km sio wewe usimblock ila mpuuze kona zote, kama ni lazima kukutana unamwenya/tabasamu la kulazimisha tu halafu endelea na hamsini zako,,, lazima akuite mama
Nimeongeza dozi hapo soma tena hiyo commentnipo tayari kufanya ushauri wako wowote 😌😌
Bila shaka upo single 😂Hakikisha humpi k
Atajiju ye si kaanza sie tunamalizaUnataka mtoto wa watu afe
Single!!! Mimi huyu?? Haijawahi kutokeaBila shaka upo single 😂
Sababu ndogo hizo. Cha msingi kama umejua ana wivu kwako ndo upendo. Prove kwamba ansyohisi sio kweliWivu
Naomba hela sasa nkasuke halafu ninyoe weekend nikuje my wangu.....Mimi nna utaratibu wangu, cha kwanza hata dakika ya 2 fresh maana inatogeag dharura mechi ikaahirishwa, mabao mengine it is for you beibe😂, mpaka niishiwe nguvu kabisa yaani
Wow, hii inanifanya niuone uzuri wako, hongera sanaSingle!!! Mimi huyu?? Haijawahi kutokea