Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Kwani ulimzaa wewe hadi utake asikuache?
Kitu gani cha thamani amekupatia kiasi usiweze kumuacha aende zake ???

Hakua wako,

Riziki yako kwake imeishia hapo,

Dunia bado Ina watu wengi wema na wenye upendo mwingi

Siku moja ukibahatika kukutanaye m,moja wapo hata utajiona fala kupoteza muda kumlilia mtu ambaye ni hakua sahihi kwako.
Mkuu mbona essay
 
Oops!! Sorry my love,

Nilikuwa namshauri hivi kwanini hataki mahusiano yafike mwisho? Je anaona kuna nafasi inaweza kufanya kazi? I mean huyo anaweza kumbadilisha maamuzi yake ikiwa tayari kashaamua ifike mwisho?

Lakini wakati mwingine lazima ukubali ukweli kwamba mambo yanaisha. Huwezi kulazimisha vitu viwe vile wewe unataka.
Na mwisho huu ni muhimu kutufanya kutambua kwamba kila kitu kinachotuzunguka ni cha muda mfupi.
Tumeshikamana na watu kiasi kwamba wanapotuacha tunaamini wanachukua sehemu yetu pamoja nao lakini wanachofanya ni kujitengenezea nafasi zaidi ili tuweze kukua, kubadilika. Maybe inaweza kufungua milango kupata mtu sahihi.

Ni sawa kuhuisha kumbukumbu zako lakini zikikufanya ujisikie kukwama basi ni shida. Sababu ambayo haukuweza kushinda kitu haiwezi kuwa na nguvu kama ukweli kwamba maisha yako bado hayajaisha. Inachukua muda. Na huwezi kumsahau mtu ambaye amekuwa sehemu ya maisha yako. Unachoweza kufanya ni kuwasamehe na wewe mwenyewe ujisamehe

Unapomsamehe mtu, bila kukusudia unaacha nyuma hisia hizo ambazo hazikuruhusu kupata.
Kusamehe ni kukubalika yenyewe. Unakubali kuwa huwezi kulazimisha watu kukaa nawe. Mara tu utakapokubali kuwa wewe si mali ya mtu yeyote wala si mtu wako, utaweza kusonga mbele. Mwisho jipende na ujithamini…

Hapo nadhani utakuwa umenielewa?
Asante ❤️

ila vip huwezi andika kwa kisukuma ili na wao wakuelewe😌
 
si umeona yenyewe yanavyojitapa kutunyoosha,

we tafuta mtu mpige tukio mpaka akuite mama halafu njoo nikupe pole ya huyo kunguru

Mi nishapiga watu matukio mmoja alilia stendi, kwahiyo sidaiwi
We mwanamke 😂 😂 😂 😂 🙌🏾,,hili wacha nfanyie kazi,,nilianza kumuonea huruma ila kwa huu ushaur,, ngoj ntakuja na majibu
Dadeqiiiiiiiiiii
 
Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri
Pole sana mkuu.Mimi nimeachika sana miaka ya nyuma hadi waliacha kuniita x tena.Siku hizi wameamua tu kuniita "X-PLASTER SUGU"!Ni mienendo ya maisha ili ukue na uyajue mahangaiko ya mapenzi.Huyo si wako.Kubali muheshimiwa.
 
ushaur na nyongeza juu,nishindwe mimi tu,,,hapewi hata mambo😌
Yani ukimpa mambo we ndo fala, jifanye unateseka na kuachwa kwake hujapata mbadala akijaa kwenye mfumo mmalize utamsoma kitu gani kinampa maumivu kwenye mapenzi tumia hicho kumpigia halafu mute km sio wewe usimblock ila mpuuze kona zote, kama ni lazima kukutana unamwenya/tabasamu la kulazimisha tu halafu endelea na hamsini zako,,, lazima akuite mama
 
Back
Top Bottom