MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Pandisha cheo mmoja kati ya wale wengine wanne.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ngoma droo tena mshikaj atajisifu kinoma kwamba hata hivo nilipigaKwanini sio serious? Sasa akimpa k itakuwa nini tena hapo?
Au sio mkuu wanne wapi tenaPandisha cheo mmoja kati ya wale wengine wanne.
Yani hiyo ni bonge ya hasara unakuwa umejipiga tukioItakuwa ngoma droo tena mshikaj atajisifu kinoma kwamba hata hivo nilipiga
Huu ni utoto tu unasumbua, ukute mleta mada ana miaka 19.Show vijana walikua wanalala juujuu
Afu kameingia mitini hakajibu comments 😂😂😂Huu ni utoto tu unasumbua, ukute mleta mada ana miaka 19.
Tuanzie hpUnampenda sana kwa ajili ya nini?
Nikikukuta getini nageuza, nitakua nimekosea njia wallah🤣🤣🤣🤣utanikuta getini
Usihuzunike ni bora alivyokuacha halikuwa fungu lako. Relax jipe muda utakaa usawa na utampata mnayependana sio unayempenda.Mambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri
Ushauri wangu kwako, accept situationMambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri
Humu Ndani kuna watu wanafurahisha kinomaUsikubari kuachwa kwanini uachwe...?
Mkuu umemnanga 😂🤣Umefungua ID mpya kisha ukaja kutafuta huruma JF sio?
ID yako ya zamani ni ipi?