Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Hatujawahi, hali ilikuwa ni shwari kabisa, upepo ukabadilika ghafla.
Mi sio nabii ila huyo demu wako alishalengeshwa kwa mwamba mwengine ambaye kakuzidi kidogo maisha au ana cheo. Na si muda mrefu sana but likely ni kipindi hiki hiki ambacho we umeanza habari za kutaka kupeleka mshenga uoe.🀣

Trust your instincts, huyo shosti yake ndio atakuwa remote controller. Next time ukianza mahusiano serious na mtu mwenye akili za kukopa kwa shoga yake hakikisha huo ushoga wao haupo kabisa. Au kwa namna ingine achana nae kama hakuelewi.
 
Kumbe [emoji23][emoji23]
 
Dah..[emoji28]

JF konyo..[emoji23]
 
Mkuu, sijui hata imekuaje tena. Ninavyojisikia hapa ni Mungu pekee anajua.
Acha kujiliza kisenge, unakumbuka uliwaumiza wasichana wangapi? Hiyo ni fate ya kuumiza mioyo ya wasichana na wao waliumia hivyo hivyo kama unavyoumia wewe.
 
Walimu nasi tumekengeuka,sa itakuwaje?πŸ€”
Madam To yeye πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!Waalimu ni moja ya kada zenye watu wasio na shida sana in some percent.Namna wanavyoandaliwa ina wasaidia kuwa watu wa tofauti sana na kada nyingine lakini zaidi kwa Waalimu wa miaka kidogo ya nyuma,siku hizi kidogo mambo si mambo unaona huyu brother amepatikana hapa.
Nakushauri tulia as long hakuwa mke bado.Muombe Mungu atakutia nguvu na kitapita hiki kipindi.
Usijihukumu kwa past imeishapita focus kwenye kuifanya future yako iwe ya kielelezo.
Bible inasema heri mwisho mwema kuliko mwanzo.
 
Akili kubwa sana hii mkuu..

Nashukuru kwa ushauri..
 
Tuseme wewe ni kungwiπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“ umebobea au πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…