Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
-
- #421
[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna cha moto wala nini, walimu wa UPE ni low thinking huwa hawajielewi hata. Its too risky ku deal na mtu ambaye hana msimamo na mwenye akili za kukopa. [emoji1787]
Puchu yani Sabuni ndio mwarubaini hapo... La sivyo atateseka na wanawake, vitabu vyenyewe vya Duni vinatupa mifano hai kina Samson na wengineo... Hata dhambi ililetwa na MwanamkeMhAya acha kumpoteza mdogo wetu
Kaka barikiwa sana.I am not kidiing, siku ukianza vikao vya harusi ujue una kianzio cha mpwao Elli cha 50,000. Lazima tuwatie moyo wadogo zetu muoe, kuna raha una safiri au unaenda kazini unajua nina watu wananitegemea, kuna raha na baraka zake.
Karibu sanaKaka barikiwa sana.
Nakuja PM mkuu..
Puchu ni dhambi na ni marufuku.Puchu yani Sabuni ndio mwarubaini hapo... La sivyo atateseka na wanawake, vitabu vyenyewe vya Duni vinatupa mifano hai kina Samson na wengineo... Hata dhambi ililetwa na Mwanamke
Kasharudi mkuu. Kanipigia jana usiku anajichekeleshaa..Huyo kurudi atajirudi tu ila kashavunja trust. Kama uko tayari kuishi na mtu ambaye huwezi kum trust then msubirie kidogo haitapita miezi miwili lazma atajirudisha tu baada ya kutoswa huko alikokimbilia. Still uko reserved.
Nishakucheki mkuu.Usiwaze mzee dakk 0
ewaaaaa ehe kasemaje? Saafi sana nimefurahi sana, MUNGU mwema[emoji3][emoji3]
Mkuu, kanipigia...
Dhambi gani? Nipe reference...Puchu ni dhambi na ni marufuku.
Unajua adhabu anayoipata mtu anayepiga puchu π€π€π€π€π€βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ
π«‘π«‘π«‘ make sure wewe ndiyo unapendwa kwenye mahusiano yatakayo fuata.Wewe ndiye provider,wewe ndiye unaye amua kuoa tena sio kinyonge. A woman should be begging you to marry her,hii Mungu amekuepushia zahama maana wewe ndiye ulikua the weak person kwenye mahusiano.
Mwalimu inaonekana kuna mwamba ambaye yeye anampenda sana na amememtingisha kwamba kuna stranger (wewe) anataka kwenda kutoa mahari. Mtu katingishika kweli mpaka imebidi uambiwe vuta handbrake wakati anayependwa akisubiriwa kutimiza ahadi yake . Hii inaitwa multi-dating,ungepewa ruhusa ya kwenda kutoa posa kama plan A yake ingefeli.
Unahalalisha dhambi kwa dhambi .πππππππππππDhambi gani? Nipe reference...
Je kati ya kununua malaya na kupiga Puchu hipi hapo ni dhambi? Kwanza kwa malaya unaweza kubeba magonjwa UTI, fungus, na magonjwa mengine makali.
Ukipiga Puchu kwa sababu kwanza unasafisha mashine vizuri, kwa sababu sabuni ni kitakatishaji... Hakuna magonjwa ya kiboya, pia unajipimia size ya shimo π upewe nini kingine wewe Mack Muga
Sawa mkuu.Acha kujiliza kisenge, unakumbuka uliwaumiza wasichana wangapi? Hiyo ni fate ya kuumiza mioyo ya wasichana na wao waliumia hivyo hivyo kama unavyoumia wewe.
Asante sana mkuu.Madam To yeye [emoji3][emoji3][emoji3]!Waalimu ni moja ya kada zenye watu wasio na shida sana in some percent.Namna wanavyoandaliwa ina wasaidia kuwa watu wa tofauti sana na kada nyingine lakini zaidi kwa Waalimu wa miaka kidogo ya nyuma,siku hizi kidogo mambo si mambo unaona huyu brother amepatikana hapa.
Nakushauri tulia as long hakuwa mke bado.Muombe Mungu atakutia nguvu na kitapita hiki kipindi.
Usijihukumu kwa past imeishapita focus kwenye kuifanya future yako iwe ya kielelezo.
Bible inasema heri mwisho mwema kuliko mwanzo.
[emoji28][emoji28]Tuseme wewe ni kungwi[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] umebobea au [emoji851][emoji851][emoji851]
[emoji23][emoji23]MhAya acha kumpoteza mdogo wetu
Asante sana mkuu.Pole, ni Karma hiyo kipindi ukiwa malaya na wenzio waliwahi umia hivyo hivyo.
Msamehe, jisamehe move onβ¦. Utampata mwingine.
Nipe mstari unaosema husipige Puchu.Unahalalisha dhambi kwa dhambi .πππππππππππ
Reference ni vitabu vyote vya dini mkuu π€π€π€π€
Puchu sio poa ni balaaaa oooh
Anajichekelesha tu mkuu..ewaaaaa ehe kasemaje? Saafi sana nimefurahi sana, MUNGU mwema
Kwa haraka haraka Mhaya unaamua tuu kumpoteza dogo π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€Nipe mstari unaosema husipige Puchu.
Umalaya na Ufusika ndio dhambi....
Mkono wangu sio dhambi, tena ukipiga Puchu paka na Mkongo hili mambo yawe sawa