Kwakweli ni changamoto, asa sijui inatakiwa kifanyike niniMatatizo siku hizi yanaanzia nyumbani ndiyo maana uasherati na uzinzi unazidi.
Wanawake wengi wanaanza kuvuliwa chupi na watu wao karibu kabisa, na wanaume ni hivyohivyo.
Watu wanadharau masomo ya dini amabayo yanafundisha maadili, ndiyo matokeao yake hayo.
Masomo ya dini kwa wazazi na watoto ni muhimu sana, hayana mwisho wa kusoma, sisi siku hizi tunadharau sana.Kwakweli ni changamoto, asa sijui inatakiwa kifanyike nini
Poleee. Ila ukiachwa achika maana hakuna namna2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Pole sana sana kwa kuachwa. Anyways,as long as hujaachwa na Dunia, nafasi bado zipo.2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Point sanaMkome kumvulia mtu chupi kabla ya kufunga ndoa.
Hivi ukitaka kuslimu inatakiwa ufanyaje, masharti na vigezo vyenu vikoje?? .. Nimejikuta nimevutiwa na uislamMasomo ya dini kwa wazazi na watoto ni muhimu sana, hayana mwisho wa kusoma, sisi siku hizi tunadharau sana.
Hakuna pa kujifunza maadili zaidi ya kwenye dini na hususan Uislam.
Mwengine huko analia madeni, suluhisho lipo kwenye Uislam tu.
Uskute mwenzako anawaza maandamano, we unamuwazia Mapenzi, Anyway nicheki PM.2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Ni wepesi sana ni kushahdia tu, hakuna zaidi.++Nenda msikiti wowote wa karibu yako muone imamu au waambie Waislam wowote unaowafahamu wakusilimishe. Jionee:Hivi ukitaka kuslimu inatakiwa ufanyaje, masharti na vigezo vyenu vikoje?? .. Nimejikuta nimevutiwa na uislam
Sawa,,, sema majuba hayajawahi kunipendeza sijui kwaniniNi wepesi sana ni kushahdia tu, hakuna zaidi.++Nenda msikiti wowote wa karibu yako muone imamu au waambie Waislam wowote unaowafahamu wakusilimishe. Jionee:
View: https://youtu.be/utJPtJUu1AE?si=-lA3gdKczqYAJ83Q
Pole Mkuu! Unahisi umeachwa kwa sababu zipi?2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Weka lokesheni kabisaDaktari asimposaidia aje anione mimi. Nina dawa yake
Majuba siyo sheria Kiislam, ni mapendeleo tu ya mtu.Sawa,,, sema majuba hayajawahi kunipendeza sijui kwanini
Badilika la sivyo hata mimi nitakuacha ohooo2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali