Nimeachwa nifanye nini

Nimeachwa nifanye nini

Matatizo siku hizi yanaanzia nyumbani ndiyo maana uasherati na uzinzi unazidi.

Wanawake wengi wanaanza kuvuliwa chupi na watu wao karibu kabisa, na wanaume ni hivyohivyo.

Watu wanadharau masomo ya dini amabayo yanafundisha maadili, ndiyo matokeao yake hayo.
Kwakweli ni changamoto, asa sijui inatakiwa kifanyike nini
 
Masomo ya dini kwa wazazi na watoto ni muhimu sana, hayana mwisho wa kusoma, sisi siku hizi tunadharau sana.

Hakuna pa kujifunza maadili zaidi ya kwenye dini na hususan Uislam.

Mwengine huko analia madeni, suluhisho lipo kwenye Uislam tu.
 
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Poleee. Ila ukiachwa achika maana hakuna namna
 
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Pole sana sana kwa kuachwa. Anyways,as long as hujaachwa na Dunia, nafasi bado zipo.

Ukitulia, nitafute ili tuanzishe mchakato wetu kwa ajili ya januari mwakani
 
Masomo ya dini kwa wazazi na watoto ni muhimu sana, hayana mwisho wa kusoma, sisi siku hizi tunadharau sana.

Hakuna pa kujifunza maadili zaidi ya kwenye dini na hususan Uislam.

Mwengine huko analia madeni, suluhisho lipo kwenye Uislam tu.
Hivi ukitaka kuslimu inatakiwa ufanyaje, masharti na vigezo vyenu vikoje?? .. Nimejikuta nimevutiwa na uislam
 
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Uskute mwenzako anawaza maandamano, we unamuwazia Mapenzi, Anyway nicheki PM.
 
Ww ni Judi wa hapo mtakuja kwenye kolongo la maji?
Ambaye nyumba zenu alimanusura zisombwe na maji
 
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Pole Mkuu! Unahisi umeachwa kwa sababu zipi?
 
Sawa,,, sema majuba hayajawahi kunipendeza sijui kwanini
Majuba siyo sheria Kiislam, ni mapendeleo tu ya mtu.

Uislam umehimiza Hijaba, hijab maana yake ni kuwa "modest", yaani mavazi yenye maadili mema, ysiyoweza kukera wala kutamanisha watu. Katika mavazi hilo ni kwa mwanamke na mwanamme.

Yale majuba mimi sijawahi kuvaa n awala sielewi maana yake nini? Labda ingekuw nchi ha baridi ningezema wanajikinga na baridi. Joto hili, mijuba, mosksi, mi gloves/ Aah, hiyo siyo mila wala desturi ya Kiislam.

Uislam unaenda na wakati, mradi tuwe "modest".
 
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Badilika la sivyo hata mimi nitakuacha ohooo
 
Back
Top Bottom